Songtexte Salome - Diamond Platnumz
Kioo
hakidanganyi
mama
Umejipodoa
umepodoka
Mwendo
na
shepu,
vyote
mwanana
Mimi
suruali
yanidondoka
Tukimbizane
nini
Salome
wangu?
Iyo
michezo
ya
jogoo
Mbona
watizama
chini
salome
wangu
Ukimuona
jongoo
Inama
kidogo,
shika
magoti
Mimi
nimesimama
kama
ngongoti
Mtoto
jojo,
sio
roboti
Chumbani
bingili
bingili
somersault
Unanitekenyaga
ukinyonga
salome
Unanitekenyaga
ukinyonga
Unatikenyaga
ukinyonga
kweli
Unanitekenyaga
ukinyonga
Aaaha!
Hoera
makulu
vane,
hoera
ngambe
Hoera
na
Zari,
hoera
ngambe
Utamu
kolea
aprookoto
Ting'ali
ting'ali
ndani
kwa
moto
Nitamnyongea,
msokoto
Niteme
sumu
kali
kama
kobokoo
Eeeh
Mapenzi
yananipa
shida
Shida
maama,
ni
donda
lisilokuwa
na
tiba
Tiba
bwana,
usije
baby
kanicharanga
Kanichambua
moyo
kama
karanga
Mie
baby
kwenye
msambwanda,
huwa
sienda
Ngenge
ni
nganganga
Unanitekenyaga
ukinyonga
salome
Unanitekenyaga
ukinyonga
Unatikenyaga
ukinyonga
kweli
Unanitekenyaga
ukinyonga
Aaaha!
Hoera
makulu
vane,
hoera
ngambe
Hoera
na
Zari,
hoera
ngambe
Mie
mwenzako
nyang'anyang'a
Mie
binzari
we
ndo
nyanya
Baby
kwangwaru
Isimamie
kama
kangaroo
Ibane
kangwaru
Babu
Juma
mpige
kwakwaru
Kwakwaru
kwakwa
Chambua
kama
karanga
sasa
Chambua
kama
karanga
Ichambue
kama
karanga
Salome
Chambua
kama
karanga
I
say
washa
washa
moto
washa
Songa
songa
ugali
songa
songa
Mpaka
chini
mpaka
chini
Wenye
wivu
wajinyonge
leo
Wanye
wivu
wajiinyonge
Wenye
wivu
wajinyonge
Salome
Wenye
wivu
wajinyonge
Wenye
wivu
wajinyonge
kweli
Wanakodoa
kodo
wanakodoa
(macho
kodo)
(Wale
kodo)
Ukinyonga
(wanakodoa
kodo
wanakodoa)
Ukisonga
(wanakodoa
kodo
wanakodoa)
1 Acha Nikae Kimya
2 Baba Lao
3 Baikoko
4 Eneka
5 Fire
6 Hallelujah
7 I Miss You
8 Jeje
9 Kanyaga
10 Kesho
11 Kizaizai
12 Kwanini
13 Lala Salama
14 Mapenzi Basi
15 Mawazo
16 Mdogo Mdogo
17 Moyo Wangu
18 Nataka Kulewa
19 Niache
20 Nikuone
21 Nitarejea
22 Ntampata Wapi
23 Sijaona
24 The One
25 Ukimuona
26 Utanipenda
27 Binadam
28 Inama
29 Mapenzi Kitu Gani
30 Kidogo
31 Iyena
32 Salome
33 Mbagala
34 Nalia Na Mengi
35 Natamani
36 Nimpende Nani
37 Upofu
38 Kamwambie
39 Chanda Chema
40 Tulia
41 Sikomi
42 Kosa Langu
43 Ccm Number One
Attention! Feel free to leave feedback.