Songtexte Kwanini - Diamond Platnumz
Ah!
Usinione
nalia,
moyoni
naumia
Kila
siku
ma-ugomvi,
unanukia
ma-bia
Ina
maana
unataka
useme
huu
moyo
wangu
hatambui
Thamani
ya
mapenzi
ndo'
imegeuka
kuwa
uadui
Nimekuimbia
nyimbo
bado,
nkakupa
moyo
bado
Nikakupa
life
na
true
love,
ila
baby
bado
Nimekuimbia
nyimbo
bado,
nkakupa
moyo
bado
Nikakupa
life
na
true
love,
ila
baby
bado
Ukose
raha
(raha)
Kisa
(kisa),
kupendwa
nawe
Kwanini
ukose
raha?
(Raha)
Kisa
(kisa),
kupendwa
nawe
Kwanini
ukose
raha?
(Raha)
Kisa
(kisa),
kupendwa
nawe
Kwanini
ukose
raha?
(Raha)
Kisa
(kisa),
kupendwa
nawe
Nishachoshwa
na
haya
mapenzi
Visa
mara
mia
kwa
mwezi
Mara
leo
limekwisha
hili
Kesho
kutwa
tena
ghafla
limezuka
tena
lingine
'Choshwa
na
haya
mapenzi
Visa
mara
mia
kwa
mwezi
Leo
limekwisha
hili,
kesho
lingine
eh!
You
just
don't
know
Naumia,
'umia,
'umia,
'umia,
'umia,
eh-eh!
You
don't
know
Naumia,
'umia,
'umia,
'umia,
'umia
Iye
hiii
Kwanini
ukose
raha?
(Ukose
raha)
Kisa
(kisa),
kupendwa
(ye-iye)
nawe
(nawe)
Kwanini
ukose
raha?
(No,
no,
no,
no!)
Kisa,
kupendwa
nawe
(nawe)
Kwanini
ukose
raha?
Kisa,
kupendwa
(kupendwa)
nawe
(nawe)
Kwanini
ukose
raha?
Kisa
(kisa),
kupendwa
nawe
1 Acha Nikae Kimya
2 Baba Lao
3 Baikoko
4 Eneka
5 Fire
6 Hallelujah
7 I Miss You
8 Jeje
9 Kanyaga
10 Kesho
11 Kizaizai
12 Kwanini
13 Lala Salama
14 Mapenzi Basi
15 Mawazo
16 Mdogo Mdogo
17 Moyo Wangu
18 Nataka Kulewa
19 Niache
20 Nikuone
21 Nitarejea
22 Ntampata Wapi
23 Sijaona
24 The One
25 Ukimuona
26 Utanipenda
27 Binadam
28 Inama
29 Mapenzi Kitu Gani
30 Kidogo
31 Iyena
32 Salome
33 Mbagala
34 Nalia Na Mengi
35 Natamani
36 Nimpende Nani
37 Upofu
38 Kamwambie
39 Chanda Chema
40 Tulia
41 Sikomi
42 Kosa Langu
43 Ccm Number One
Attention! Feel free to leave feedback.