Alikiba feat. Blaq Diamond - Niteke (feat. Blaq Diamond) Lyrics

Lyrics Niteke (feat. Blaq Diamond) - ALIKIBA , Blaq Diamond



Hivi unaniendesha
Mapenzi yanakupa power
Eh, nipatie intentions
Siruki ushanivunja mbawa
Eh eh
Umenigea dozi eh
Umezidisha dozi eh
Nimetepeta dawa majozi eh
Dawa majozi eh, ni gospel life
Umenigea dozi eh
Umenipa dozi eh
Nimetepeta dawa majozi eh
Dawa majozi eh, lets have good life
Niteke uwe na mimi, niteke uwe na mimi
Niteke uwe na mimi, na mimi, na mimi am here
Niteke uwe na mimi, niteke uwe na mimi love
Niteke uwe na mimi, na mimi...
Uuuulalaaaaa




Alikiba feat. Blaq Diamond - ONLY ONE KING
Album ONLY ONE KING
date of release
07-10-2021



Attention! Feel free to leave feedback.