Lyrics Washa (feat. Nyashinski) - ALIKIBA , Nyashinski
Shika
moja
shika
mbili
shika
now
Shika
tatu
mengine
achana
nayo
Kuna
wale
wapenda
habari
zao
Hao
hao
achana
nao
Acha
wacha
now,
wacha
wacha
now
Toa
habari
zetu
kubwa
faida
yao
Wakileta
neno,
waambie
mwisho
wao
Huu
ndo
mwisho
wao,
ukumbusho
wao
Kwani
we
ndo
Alpha
na
Omeha
wow
Usishindane
spidi
na
baiskeli
ya
mbao
Walinipa
mwanya
nikapiga
bao
Nishapiga
bao,
nikashusha
bao
Washa
moto,
washa
kitu
washa
(Washa)
Hater
nipe
nao
mi
nataka
(Washa)
Hata
kama
lumboto
nishapata
(Washa)
Washa
nao
(Washa)
wachape
nao
(Washa)
Washa
moto,
washa
kitu
washa
(Washa)
Hater
nipe
nao
mi
nataka
(Washa)
Hata
kama
lumboto
nishapata
(Washa)
Washa
nao
(Washa)
wachape
nao
(Washa)
Washa
moto
usiogope
Wanazeeka
wengine
wakizaliwa
Wakutusema
hawaishi
na
Hamna
yeyote
wa
kusimamisha
majaliwa
Na
say
majaaliwa
yeah
yeah
Morale
iko
juu,
pia
glass
weka
juu
Na
hii
hata
si
ya
sikukuu
ni
kawaida
Na
mission
itaisha
nikijua
Nimelisha
wajukuu
wa
wajukuu
Ndio
maana
nahustle
kukushinda
Wakiskia
na
ball
wasiconfuse
mimba
Eh
nani
najua
unajiuliza,
nani
kama
huyu
ninja
Ni
kama
nikiongezewa
mtama
Wanaongezewa
tamaa
Nimewaonea
kwa
mbali
sana
Naomba
msamaha
ka
nakaa
kama
sijali
Ni
kama
nikiongezewa
mtama
Wanaongezewa
tamaa
Nimewaonea
kwa
mbali
sana
Naomba
msamaha
ka
nakaa
kama
sijali
Washa
moto,
washa
kitu
washa
(Washa)
Hater
nipe
nao
mi
nataka
(Washa)
Hata
kama
lumboto
nishapata
(Washa)
Washa
nao
(Washa)
wachape
nao
(Washa)
Washa
moto,
washa
kitu
washa
(Washa)
Hater
nipe
nao
mi
nataka
(Washa)
Hata
kama
lumboto
nishapata
(Washa)
Washa
nao
(Washa)
wachape
nao
(Washa)
1 Oya Oya
2 Amour
3 Tamba (feat. Tommy Flavour, K2ga & AbduKiba)
4 Jealous (feat. Mayorkun)
5 Sitaki Tena
6 Salute (feat. Rudeboy)
7 Washa (feat. Nyashinski)
8 Infidèle
9 Bwana Mdogo (feat. Patoranking)
10 Habibty (feat. Khaligraph Jones)
11 Gimme Dat
12 Niteke (feat. Blaq Diamond)
13 Let Me (feat. Sauti Sol)
14 Utu
15 Ndombolo (feat. AbduKiba, K2ga & Tommy Flavour)
16 Happy (feat. Sarkodie)
Attention! Feel free to leave feedback.