Alikiba feat. Khaligraph Jones - Habibty (feat. Khaligraph Jones) Lyrics

Lyrics Habibty (feat. Khaligraph Jones) - ALIKIBA , Khaligraph Jones



Yeah
Aaanh
Eeenh
Aaanh
Sijakuwa mwongo yeah,
Sijakuwa fyongo ooh,
Dhambi bure za nini twarudi kwa udongo,
Ooh baby my sherie sherie unaijaza maji meli,
Hakuna mapenzi ya watatatu unakwama wapi unafeli,
Ni wivu gani au ni kitu gani hatuelewani lolote,
Kwani kisirani niko mashakani nitadeti vipi na wote,
Niendapo nifate,
Hiyo namba ikini-call ikate,
Wengi wananimezea mate,
Me ndo baby yako pekee,
Aaah oh my
Aaah oh my
Akili yangu unaikonga kisa nakupenda nakoma baby,
Habibty habibty habibty
Habibty habibty habibty
Habibty habibty habibty
Habibty habibty habibty




Alikiba feat. Khaligraph Jones - ONLY ONE KING
Album ONLY ONE KING
date of release
07-10-2021



Attention! Feel free to leave feedback.