Ben Pol - Best of Ben Pol Lyrics

Lyrics Best of Ben Pol - Ben Pol




Nimependa oooh nimempenda mimi
Maneno maneno yasitutenganoshe
Tutapendana milele mpaka kifo
Penzi letu lizidibkunoga kupendeza
Oooh mama tupendane
Tusiruhusu yatuingilie mabaya




Attention! Feel free to leave feedback.