Lyrics Nikikupata (Acoustic) - Ben Pol
Maisha
yangu
mi,
Nmeshafanya
vingi
na.kukutana
na
wengi
Kama
warembo
nao,
nimeshakuwa
na
wengi
ila...
sio
siri
umewazidi
Uzuri
sio
sura
ma.
pozi
na
maumbile
kama
wengi
wanavyodhani
Bali
ni
nzuri
tabia,
Hekima
na
ukarimu
wako,
Busara
na
Imani
Uzuri
sio
sura
ma.
pozi
na
maumbile
kama
wengi
wanavyodhani
Bali
ni
nzuri
tabia,
Hekima
na
ukarimu
wako,
Busara
na
Imani
Nikikupata,
Milele
nitafurahi,
Nitaimba
Nakupenda,
Hadi
mwisho
wa
uhai
Nikikupata,
Milele
nitafurahi,
Nitaimba
Nakupenda,
Hadi
mwisho
wa
uhai
Heshima
ya
Mapenzi,
Ubora
wa
Mapenzi
wawili
kuaminiana
Heshima
ya
Mapenzi,
Furaha
ya
Mapenzi
Mimi
na
we
tukipendana
Nami
ninaapa,
kukupa
thamani
ya
penzi
unalopaswa
Kamwe
sitofanya,
kinyume
na
thamani
ya
pendo
nikakosa
Uzuri
sio
sura
ma...
pozi
na
maumbile
kama
wengi
wanavyodhani
Bali
ni
nzuri
tabia,
Hekima
na
ukarimu
wako,
Busara
na
Imani
Uzuri
sio
sura
ma...
pozi
na
maumbile
kama
wengi
wanavyodhani
Bali
ni
nzuri
tabia,
Hekima
na
ukarimu
wako,
Busara
na
Imani
Nikikupata,
Milele
nitafurahi,
Nitaimba
Nakupenda,
Hadi
mwisho
wa
uhai
Nikikupata,
Milele
nitafurahi,
Nitaimba
Nakupenda,
Hadi
mwisho
wa
uhai
Maisha
yangu
mi,
Nmeshafanya
vingi
na.kukutana
na
wengi
Kama
warembo
nao,
nimeshakuwa
na
wengi
ila...
sio
siri
umewazidi
Uzuri
sio
sura
ma.
pozi
na
maumbile
kama
wengi
wanavyodhani
Bali
ni
nzuri
tabia,
Hekima
na
ukarimu
wako,
Busara
na
Imani
Uzuri
sio
sura
ma.
pozi
na
maumbile
kama
wengi
wanavyodhani
Bali
ni
nzuri
tabia,
Hekima
na
ukarimu
wako,
Busara
na
Imani
Nikikupata,
Milele
nitafurahi,
Nitaimba
Nakupenda,
Hadi
mwisho
wa
uhai
Nikikupata,
Milele
nitafurahi,
Nitaimba
Nakupenda,
Hadi
mwisho
wa
uhai
1 Nikikupata (Acoustic)
2 Kidume
3 Maneno
4 Pete 2
5 Yatakwisha
6 Moyo Mashine
7 Jikubali
8 Number One Fan
9 Sophia
10 Tatu
11 Maboma
12 Samboira
13 Phone
14 Natuliza Boli
15 Best of Ben Pol
Attention! Feel free to leave feedback.