Lyrics Kibabu Na Binti - Dizasta Vina
Mhoji:
"Mmhh...
kwahiyo
ni
nini
kilikujia
akilini
aah!!
mara
ya
kwanza
ulipomuona
kibabu?"
Binti:
"mh...
Pesa,
eeh!
Pesa.
Suti
aliyovaa,
gari
anayoendesha,
vyote
viliongesha
kuwa
ana
pesa"
Mhoji:
"aah
okay.!!
Sasa
ina
maana
hukujali
vitu
vingine?"
Binti:
" mhh!
Hapana.
Umri,
background
yake,
kazi
yake,
havinihusu.
As
long
as
ana
pesa"
Msimuliaji
Ah
Binti
akaweka
pozi
matata
Kibabu
akaona
huu
ni
msosi
akaja
Binti
akamkonyeza
kibabu,
kibabu
akajibu
Kibabu
akafungua
pochi
binti
akiifungua
zipu
Binti
akavua
nguo
zake
za
mwili
akideka
Akimwacha
yule
kibabu
tajiri
akitweta
Hakujali
kuitwa
malaya
hakuona
haya
Kwa
maana
akili
yake
iliwaza
pesa
Akathibitisha
kibabu
ana
sumni
za
kutupa
Alikuwa
na
mvi
kuonyesha
umri
pia
ni
mkubwa
Akajisemea
"kibabu
anafaa
kuwa
baba
yangu
Ni
ajabu
kuona
anapiga
tour
kwa
machangu"
Akaendelea
kuwaza
"labda
pengine
hana
mke
Kwamba
ndo'
maana
huu
utamu
anaufata
nje?
Au
mkewe
ni
mvivu
utamu
anaupata
nusu?"
Akaacha
kuwaza
baada
ya
kugundua
hayamuhusu
Binti
akalikabidhi
tunda
Ilikuwa
shughuli
kamili
shahidi
kuta
Alijituma
kuigiza
furaha
ilipobidi
Aishinde
dhiki
maana
babu
alimuahidi
bunda
Binti
akaweka
mashauzi
ki-star
mpaka
Kibabu
akaenda
round
kadhaa
hata
Vyumba
vya
jirani
wote
walishtuka
Kumsikiliza
babu
anatoa
sauti
za
raha
ah!
Na
sisi
mashahidi
tulikuwepo
Na
hii
ndio
inafanya
hii
hadithi
iwe
special
Binti
aliwaza
leo,
hakuikumbuka
jana
na
upeo
wake
Haukumruhusu
kuitabiri
kesho
Mhoji:
"aah
okay
kibabu"
Kibabu:
"mh
ndiyo"
Mhoji:
"Kwanza
naruhusiwa
kukuita
kibabu?
Maana
najua
hilo
sio
jina
lako
halisi"
Kibabu:
" heh!
He
heee!
Aah
Hapana
shida,
hapana
shida
nimekuwa
nikiitwa
hilo
jina
kwa
muda
mrefu
na
vijana
wananitania...
kwahiyo
hakuna
shida
unaweza
tu
ukaniita
kibabu"
Mhoji:
"Mh
okay
basi
nitakuita
kibabu
na
nilitaka
kujua
ni
kawaida
yako
kuwa
unanunua
hawa
madada
wanaojiuza
au
ni
mpenzi
wa
kutembelea
haya
maeneo
mara
kwa
mara?"
Kibabu:
"mmmh!
Kwakweli
siwezi
kusema
ni
tabia
yangu,
mhh
hapana,
japo
nimefanya
mara
mbili
mara
tatu.
Siwezi
kusema
nafanya
ninafanya
hivyo
mara
kwa
mara
kwamba
ni
tabia
yangu
lakini
ni...
Ukishaoa
utajua
kwamba
kuna
muda
ndoa
ina
changamoto
za
hapa
na
pale...
alafu
uta.
unafahamu
wewe
ni
mwanaume"
Ah!
Kibabu
akaliona
pozi
matata
Kwakuwa
ana
noti
hakuona
ugomvi
kumfata
Kibabu
akakonyezwa
kibabu
akaji
Akaifungua
pochi
kuona
binti
akiifungua
zipu
Kibabu
alitokwa
na
mate
Hata
noti
zilizomtoka
si
chache
Hakufikiri
ada
za
watoto
za
masomo
Alisahau
yote
kwa
maana
ubongo
uliwaza
ngono
Akamtazama
yule
binti
maridadi
Akajiuliza
"vipi
kaichagua
hii
kazi"
Na
umri
wake
ni
mdogo
anaweza
kuwa
binti
yangu
Ni
ajabu
kuona
ngono
anashiriki
na
vibabu"
ah
"Ah
au
labda
ameondokewa
na
wazazi!
Au
wapo
ila
amelelewa
kijambazi
Au
hali
ngumu
au
usawa
hauruhusu?"
Akaacha
kuwaza
baada
ya
kugundua
hayamuhusu
Kibabu
akaonyeshwa
njia
ya
mwezini
Akampamba
binti
pesa
ka'
Malkia
enzini
Alikuwa
ka'
karogwa
raha
zilimzonga
bila
Uwoga
akajitosa
kuingia
penzini
Ah
na
sisi
tuliosimuliwa
tuliokuwepo
Ndio
inayofanya
hii
hadithi
iwe
special
Babu
aliwaza
leo
hakuikumbuka
jana
na
Umri
wake
ulifanya
asitake
kuiwaza
kesho
Ah!
Mhoji:
"Mh!!!
Mhu!
Okay!?
Okay!!
Okay!!
Mmh
mnaniacha
njiapanda!!
Eeh
Na
hivi
ni
lini
hasa
mlikuja
kugundua
kuwa
ninyi
ni
mtu
na
binti
yake!??"
Binti
Kibabu
1 The Verteller (Intro)
2 Kibabu Na Binti
3 Tatoo Ya Asili
4 A Confession of a Mad Man
5 A Confession of a Mad Philosopher
6 A Confession of a Mad Teacher
7 A Confession of a Mad Son
8 Muscular Feminist
9 Mwanajua
10 Hatia Iv
11 Ndoano
12 Money
13 Wimbo Usio Bora
14 Nobody Is Safe 3
15 Yule Yule
16 Mlemavu
17 Kesho
18 Kifo
Attention! Feel free to leave feedback.