Lyrics Mlemavu - Dizasta Vina
Yeah!!
Haujui
wimbo
ulio
bora
dhahiri
Haujui
ushairi
au
mstari
ukaukariri
Haujui
giza
haujui
baridi
Au
mbu
walonighasi
wakati
nakusubiri
Haujui
kupenda,
moyo
wako
hewa
Wote
tumejifunza
ila
mwenzangu
umechelewa
Kaa
kimya
hauna
hata
haki
ya
kusema
Upuuzi
unaofanya
sio
ushujaa
ni
ukilema
Natamani
upate
ki-mista
pengine
Kikuumize
kama
ulivo'waumiza
wengine
Unaumwa
mama
hata
kwa
matibabu
hautopona
Sio
dhahabu
naijua
dhahabu
nikiiona
Kuvimba
kwako
kamwe
hakutavunja
miamba
Ipo
siku
utajua
kuwa
kuringa
si
afya
Utatafuta
upendo
na
utazikuta
siasa
Utaelewa
inavyouma
pindi
unapofanywa
wa
ziada
Kutojibu
jumbe
za
simu
sijui
ndio
kula
njama
Kudanganya
mahali
ulipo
umeshavuka
zama
Huu
ushenzi
ni
uzamani
upo
nyuma
mama
Unapodhani
ni
ujanja
nakuonea
huruma
sana
Eti
Queen,
Queen
hawezi
choropoa
mimba
Ungekufa
kwa
ngoma
kinachokuokoa
kinga
Unajirusha
sana
itakukatikia
Kamba
Utazubaa
na
uzee
utakukutia
njiapanda
Unanuka
sana
unanitia
kichefuchefu
Nimepoteza
muda
umenirudisha
nyuma
stepu
Tunda
huishia
tumboni
likianzia
kwenye
mbegu
Mama
nimeshindwa
sasa
nawaachia
walimwengu
Nakupigia
simu
hupokei,
Nakutext
ku-reply
una-vex
(Vex)
Kwakuwa
we
ni
mzuri
unatafutwa
na
wengi
hivyo
unajiona
keki,
Mlemavu
Kutokujua
kupenda
si
ujanja
ni
Ulemavu
(Yay
yay
yay
yah)
Kwenye
simu
ulivyoni-save
mi'
fundi
bomba
Ndo'
nikajua
inavyokata
stimu
kujikosha
Mioyo
uliyoichukua
ukaichezea
na
kuitupa
Utaenda
mbali
siku
utarudi
kuitafuta
Na
hautaiona
tena,
aisee
utaweweseka
Utapojua
uzuri
hauzuii
kuzeeka
Utakufa
hautaacha
alama
wala
ngao
Kama
urithi
zaidi
ya
picha
chafu
kwenye
mitandao
Namwonea
huruma
bwana'ko
wa
sasa
si
uongo
Huko
aliko
anahisi
ameliokota
dodo
Kumbe
chizi
uliyeshindikana
milembe
Na
kama
unajiona
mzuri
sana
jipende
Mchoyo
mama
una
mtima
wa
aina
gani
Utaacha
lini
hizo
bima
za
wahisani
Moyo
wako
haujui
kupenda
asirani
Haujawahi
hata
kulala
na
picha
kitandani
Haujawahi
kuona
watu
wakighairi
masomo
Wanazijua
sheria,
lakini
bado
wanavunja
sababu
ya
kupenda
Wanakaidi
maonyo
Haujui
chochote
zaidi
ya
hizo
style
za
ngono
Rafiki
yako
Mage
tumetoka
kumzika
Wenye
akili
tumejifunza
kwa
huu
msiba
Lakini
wasio
na
haya,
hawajui
kuwa
hakuna
tuzo
ya
umalaya
Mwanaizaya
pumzika
Ulinibeba
ili
uje
kunitupa
Nilijiachia
nimeumia
sa'
nimejifunza
Siwezi
'sema
hautapata
bwana
kama
mimi
Tupo
wengi
lakini
utanikumbuka
naamini
Nakupigia
simu
hupokei,
Nakutext
ku-reply
una-vex
(Vex)
Kwakuwa
we
ni
mzuri
unatafutwa
na
wengi
hivyo
unajiona
keki,
Mlemavu
Kutokujua
kupenda
si
ujanja
ni
Ulemavu
(Yay
yay
yay
yah)
Nakupigia
simu
hupokei,
Nakutext
ku-reply
una-vex
(Vex)
Kwakuwa
we
ni
mzuri
unatafutwa
na
wengi
hivyo
unajiona
keki,
Mlemavu
Kutokujua
kupenda
si
ujanja
ni
Ulemavu
(Yay
yay
yay
yah)
1 The Verteller (Intro)
2 Kibabu Na Binti
3 Tatoo Ya Asili
4 A Confession of a Mad Man
5 A Confession of a Mad Philosopher
6 A Confession of a Mad Teacher
7 A Confession of a Mad Son
8 Muscular Feminist
9 Mwanajua
10 Hatia Iv
11 Ndoano
12 Money
13 Wimbo Usio Bora
14 Nobody Is Safe 3
15 Yule Yule
16 Mlemavu
17 Kesho
18 Kifo
Attention! Feel free to leave feedback.