Lyrics Nobody Is Safe 3 - Dizasta Vina
Ah
Eyo
kutoka
Panorama
nasukuma
ringi
kisomi
Maana
wa
kufanya
hivi
simuoni
Na
maji
ni
ya
shingo
nawapalia
madingi
kooni
Kwa
mistari
mingi
kushinda
hata
nzi
sokoni
Dizasta
ndo'jina
logo
ya
mtaa
ina-shine
kuta
Na-type
lugha
usongo
kushinda
mdai
fuba
Nuksi
kama
asili
iliyo-design
kufa
Shwain
kaa
kando
uone
game
nai-define
upya,
yoh!
Na
usawa
ndo'
huu
sikosei
Mnapotea
kwa
sababu
hamna
basics,
na
hapo
ndo'mnayumba
Ndio
maana
mkienda
juu
siongei
na
vikundi
vyenu
utafikiri
Crew
za
ma-gay,
Ski'za
Mfumo
wa
nguzo
za
hizi
tungo
ni
ishara
kwamba
nimefuzu
Kwa
maana
hii
miruko
ni
imara
Niko
sky
natafuta
kikomo,
kwenye
kisomo
Nachora
beyond
normal
muulize
Dubo
Dibala
Expansion
to
the
hyperspace
Nakaanga
mawe
yanaiva
ma-verse
Unaweza
'dhania
ni
Complex
Ngwair
ama
utadhania
Langa
rebirth
Material
deep
huku
diver
haendi
Ni
kama
mufti
aliyelamba
haramu
Tumeganda
hata
kope
haiyumbi
utasema
ameganda
sanamu
Sipo
kwenye
route
ya
wavuvi
mamluki
nipo
na
mafundi
Kina
Ngugi
wanawapa
salamu
Ukifika
uliza
utaambiwa
mimi
ni
nani
Utaonyeshwa
mtiti
kilo
nyingi
haipimi
mizani
Ukishindwa
ita
wabishi
waje
wahiji
imani
Waeleze
naurudisha
mziki
nyumbani
Na
kama
ndo'
unafika
sasa
karibu
center
ya
tenzi,
huh!
Uone
bidhaa
bila
ya
expire
date
Kubwa
kushinda
hata
empire
state
So
my
single
line
is
like
your
entire
verse,
nigga
Usinishike
mkono
nikipake
Hatuhitaji
shobo,
ni
vina
na
mishono
ka
zuria
Tofauti
na
midosho
ya
kipambe
Tofauti
na
ngono
au
drama
za
domo
na
wenzake
Nishavunja
mwamba
Kaskazini
Tanzania
hakuna
Mroma
mwenye
stamina
ya
ku-rap
na
mimi
Mizuka
hewani
utadhani
anaye-rap
ni
jini
Nusu
mtu
nusu
rap
machine
Najua
ushasikia
tenzi
bro
ebwana
utenzi
huu
noma
Ita
wanafunzi
waje
waperuzi
ngoma
We
don't
play
good
ukija
tuna-execute
Ujuzi
kama
Sherryl
Woods
naandika
zaidi
ya
Daily
News
soma
Panda
safina
imefunguliwa
mito
Na
kingo
ni
mbovu
ukioga
tu
umefunguliwa
mito
Wenzio
wameacha
mtindo
wa
kunichukulia
simple
Sikudanganyi
hamna
hewa
huku
nilipo
Kwa
maana
ni
juu
sana
hata
ukibebwa
kusogea
bado
Kwa
hisia
za
ushairi
napotea
angani
Kama
vile
jangwani
zinavyopotea
nyayo
Ah!
pesa
inaongea
nami
naongea
nayo
Single
nzito
utafikiri
na-double
Nafoka
kwa
roho
mbaya
kama
dingi
wa
kambo
Muulize
Fifi
niko
real
kiasi
sili
na
sharo
Ripoti
kutoka
kilele
cha
ubora
Kilimanjaro
Ngoja
tu-diverge,
thanks
to
rap
I
won't
die
virgin
Mwandiko
utasema
kau-design
shorty
Sura
ya
kazi
utahisi
mdai
kodi
Rai
ya
uhai
mashakani
siku
hizi
Emcees
hawakai
road
Maliasili
mama'angu
anailinda
kama
mtoto
wa
majini
Unaziamini
ndoto?
mi'ni
kwa
mama'ako
Ndoto
kwa
demu
wako,
hata
baba'ako
anatamani
Kuwa
na
mtoto
kama
mimi
Sahau
kuhusu
chips
kwenye
foil
Hiki
chakula
cha
ubongo
cha
ku-feed
kids
Kwa
lugha
ya
ku-twist
kama
coil
Na
maisha
yangu
myth
mpaka
naenda
deep
unaweza
hisi
nai-discover
oil
Code
zinafanya
wazungu
wanazunguka
Mafungu
wanafunguka,
mazuzu
wanazuzuka
Nilikuwa
mtupu
nikaokota
buku
nikabukuka
Leo
nasimulia
tungo
tukufu
ni
ka
Lufufu
kafufuka
Legend
kama
Koffi
Olomide
Naikamata
Dar
kama
Daudi
wa
Kolomije
Nawalaza
doro
si-follow
bata
na-follow
mishe
Na
ufundi
ni
controverse
utasema
Apollo
mission
Misele
hapa
mjini
Natembea
na
begi
la
maiti
nachinja
bila
kwere
wala
nini
Busara
tele
utasema
Nyerere
ama
Mwinyi
Nafika
kilele
ila
sipigi
kelele
kama
nyinyi
Fuvu
limeshiba
mautundu
kwenye
kichwa
Niko
underground
na
huku
ndio
mitutu
inakofichwa
Walikuja
na
gubu
walizikwa
kama
wafu
mbongo
tubu
Wazungu
wanasujudu
hiki
kichwa
We
ni
player
unasifika?
mi'
ni
game
Kitambo
kama
Zinja
kwenye
plane
za
Afrika
nasikitika
hamjui
Messages
n'nazo-pack
kwenye
pictures
n'nazo
paint
Niki-reveal
scriptures
kama
saint
uh!
Ni
kama
big
hulk
kwenye
mini-bus
Sitoshi
kwenye
skinny
vazi
Gani
lita-fit,
ma-emcee
wana-sound
kama
injini
yenye
hitilafu
Mi'ni
king
wa
Swahili
rap
get't?
(yeeah!)
Wanasema
i
am
too
real
for
the
industry
Stockhom
mpaka
Italy
Ka'
cruise
yatch,
groove
hii
ni
concord
Focus
kama
msongo
ama
mnoko
anaye-solve
murder
mystery
Look
at
my
family
tree
Look
at
the
chemistry
i
have,
look
at
my
pedigree
You
talk
about
being
competitive?
being
authentic
or
Having
body
of
work
or
longevity?
Cheki
hizi
rythms
cheki
silabi
Wananiita
trickster
cheki
ma-trickery
Ma-emotions
passion
love
hope
sympathy
Uh!
utahisi
mkono
wa
Mungu
umeandika
hii
Na-spit
holly
ka'
n'nam-bite
Masihi
Kwa
heshima
namnyang'anganya
mic
Madee
Hii
ni
fact
hakuna
emcee
wa
ku-rhyme
ka'
D
Shorwebwenzi
nenda
uka-bite
na
hii
Ni
deep
sana
na
ndio
maana
wanaita
ngumu
ku-rap
Deep
kama
chumvi
kwenye
uvungu
wa
nyap
Kabla
hujani-book
nitoe
kwenye
hayo
mafungu
pumbavu
Mi'
sio
malaika
mi'
ni
Mungu
wa
rap
Haleluyah!
1 The Verteller (Intro)
2 Kibabu Na Binti
3 Tatoo Ya Asili
4 A Confession of a Mad Man
5 A Confession of a Mad Philosopher
6 A Confession of a Mad Teacher
7 A Confession of a Mad Son
8 Muscular Feminist
9 Mwanajua
10 Hatia Iv
11 Ndoano
12 Money
13 Wimbo Usio Bora
14 Nobody Is Safe 3
15 Yule Yule
16 Mlemavu
17 Kesho
18 Kifo
Attention! Feel free to leave feedback.