Lyrics Ndoano - Dizasta Vina
Okay
Ah
Chukua
kitabu
fungua
page
sixty
three
Tusome
hii
part
ya
love
and
its
mystery
Haiwezi
elezwa
kwa
science,
math
labda
history
Inaitwa
ndoa
ni
half
loss
half
victory
Kauli
ya
kwamba
sikuachi
mpaka
kifo
ni
kama
sifa
Inasemwa
na
wengi
ila
wachache
wanamaanisha
Wale
wapambe
na
mashahidi
wa
kujivika
Au
keki
na
maua
ambayo
mwisho
hupukutika
ni...
Nini
maana
ya
suti
shela
au
rangi
ya
bazee?
Nini
maana
ya
vile
vikao
kadi
tarehe?
Nini
maana
ya
maandalizi
hadi
sherehe?
Nini
maana
ya
kiapo
kwa
padri
na
sheikh?
Imeandikwa
"Kila
penye
watu
lipo
la
kujifunza"
Tembea
uone
kukaa
ndani
ni
kujifunga
Kama
wanandoa
si
binadamu
wanaofugwa
Kwanini
iwekwe
ahadi
isiyoweza
kutunzwa?
Ndoa
ni.?
(Mchagizaji)
NDOANO
Ndoa
ni
ile
iliyoandikwa
na
sheria
au
dini?
Au
shuruti
baada
ya
hatia
ya
kuzini?
Ni
jukumu
unalovishwa
baada
ya
ugoni?
Au
bashasha
unalojivika
usoni
Watu
wajue
umeridhia,
makubaliano
na
riba
za
njaa
Ahadi
ya
kuwa
pamoja
kwenye
shida
na
raha
Ahadi
inayovunjwa
ka'
sheria
inavyopindwa
na
jamaa
Ndoa
si
akiba
ni
sanaa
Ndoa
ni...
Sanaa
ya
kukaa
nafasi
ya
mwenzi
Sanaa
ya
kusahau
maudhi
na
kuzikumbuka
tenzi
Za
msamaha
au
kuzuga
kujutia
kitendo
Sanaa
ya
kuzuga
kubadili
mwenendo
Ndoa
ni...
Ule
umoja
mfano
wa
timu
Kwenye
mechi
wanaomba
mapumziko
Ndoa
inafungwa
na
sala
na
toba
za
mizimu
Lakini
inavunjika
kwa
meseji
moja
tu
ya
simu
Ndoa
ni...
Hakuna
kitu
halisi
kwenye
ndoa
labda
huyo
mtoto
Ni
idadi
ya
vipande
baada
ya
kuvunja
vyombo
Ndoa
si
pete
zinazozonga
mikono
Ndoa
ni
upendo
unaobakia
baada
ya
kuchoka
kingono
Ndoa
ni...
Ni
ka'
kikundi
cha
masela
Wanaodhani
kuwa
wamekua
Ndoa
ni
kuvumilia
maudhi
yanayokera
Ndoa
ni
maigizo
yasiyo
na
hela
ndoa
ni
jela
Ndoa
ni...
Kuzijua
kelele
Kutambua
shangwe
na
vigeregere
Ambacho
hautajua
milele
Unapodondosha
chozi
kwa
mchezo
uliouchagua
mwenyewe
Ndoa
si...
kwa
ajili
yako
ni
kwa
ajili
ya
watoto
Kuweka
ndoto
kando
na
kuzivaa
changamoto
Ndoa
ni
kukumbatia
kaa
la
moto
Ndoa
ni
jua
kali
ndoa
ni
joto
Ndoa
ni...
(Mchagizaji)
NDOANO
Ah
Asiyejua
ni
nani?
Kuwa
mlioana
msikitini
na
mkaachana
mahakamani
Kwa
kuwa
ndoa
si
nyepesi
ndoa
ni
yai
Ndoa
ni
kama
kesi
ya
jinai,
ndoa
ni...
Ndoa
ni
hukumu
wanasema
Ndoa
ni
ngumu
jamani,
ndoa
ni
sumu
Au
mpaka
mume
alete...
UKIMWI
nyumbani
Ndio
uamini
kuwa
ndoa
si
tunu
Ndoa
ni
maisha
baada
ya
harusi
Ile
sherehe
uliyoiota
ndotoni
Ndoa
si
drama
mbele
ya
watu
nyomi
Ndoa
ya
kweli
huanzia
moyoni
Ndoa
ni...
FUMBO
1 The Verteller (Intro)
2 Kibabu Na Binti
3 Tatoo Ya Asili
4 A Confession of a Mad Man
5 A Confession of a Mad Philosopher
6 A Confession of a Mad Teacher
7 A Confession of a Mad Son
8 Muscular Feminist
9 Mwanajua
10 Hatia Iv
11 Ndoano
12 Money
13 Wimbo Usio Bora
14 Nobody Is Safe 3
15 Yule Yule
16 Mlemavu
17 Kesho
18 Kifo
Attention! Feel free to leave feedback.