Lyrics Big - Fid Q
Big,
big,
big,
big
Big,
big,
big
bam
Big,
big,
big,
big
Big,
big,
big
bam
Everything
I
do,
I
do
it
big
Sio
kwa
enegy
tu,
muitambue
na
speed
Ni
kwakudra
za
mkuu
tu,
ujue
fid
Usiwe
na
muda
kwa
mguu
juu
ni
kuwa
bize
Ninachowaza
ni
kutusua
sio,
sio
tu
usanii
Mwanza
kazi
kwanza
inanihusu
hii
ndio
ase
Zaidi
ya
ninja
makomfuu
mishaulin
Master
master
nawapa
ma-woshu
mabao
nane
Kaza
mkanda
mpaka
tundu
la
mwisho
Mungu
anajicho
Ndugu
wana
majungu
vitisho
Haumuamini
fid,
unahisi
hii
ni
joke
Go
find
the
bridge,
I
take
the
long
walk
Na
watafuta
watu
kibao
Na
watafuta
watu
kibao
Na
watafuta
watu
kibao
Na
watafuta
watu
kibao
Na
watafuta
watu
kibao
Na
watafuta
watu
kibao
Na
watafuta
watu
kibao
Na
watafuta
watu
kibao
Big,
big,
big,
big
Big,
big,
big
bam
Big,
big,
big,
big
Big,
big,
big
bam
Watie
unyonge
iwakonge
kwa
nafsi
zao
Wabonge
na
wao
Wajigonge
iliukombe
hadi
tonge
zao
Ugonge
mabao
usonge,
usikinde
kwa
tonge
lao
Waache
wa
chonge
wao
(ikibidi
walonge
wabonge
kikwao)
Usijitai
ikiwa
tete
haujazishika
Mifano
hai
ndio
pekee
inayosifika
Hauwezi
kuita
respect
me
bila
uhakika
Watu
hawawezi
kuamua
kuwa
hate
hate
lazma
uweunatisha
Mzigo
wakichwa
kwapa
jasho
lanini
Ukitaka
ule
hivi
figo
ficha
kabla
hujawapa
madini
ya
rapa
ka-mimi
Sitotapa
tapa
hapa
mjini,
niko
hapa
kwanini
Niliapa
kuwa
nikiwapa
nitawini
haa
Na
watafuta
watu
kibao
Na
watafuta
watu
kibao
Na
watafuta
watu
kibao
Na
watafuta
watu
kibao
Na
watafuta
watu
kibao
Na
watafuta
watu
kibao
Na
watafuta
watu
kibao
Na
watafuta
watu
kibao
Big,
big,
big,
big
Big,
big,
big
bam
Big,
big,
big,
big
Big,
big,
big
bam
Na
watafuta
watu
kibao
Na
watafuta
watu
kibao
Na
watafuta
watu
kibao
Na
watafuta
watu
kibao
Na
watafuta
watu
kibao
Na
watafuta
watu
kibao
Na
watafuta
watu
kibao
Na
watafuta
watu
kibao
1 Mafanikio
2 Masta ( Intro)
3 Mzee Mbuzi
4 Fresh
5 Ole Chizza
6 Hustle
7 Maselabration
8 Big
9 Boss
10 Bongo Hip Hop
11 Fame
12 Kiberiti
13 Kemosabe
14 Kitaaolojia ( Interlude)
15 Familia
16 Tajiri Yangu
17 Hello Darling
18 Ulimi Mbili
19 Love
20 Mama Cheusi
21 Sky High
22 Hauniambii Kitu
23 Sumu
Attention! Feel free to leave feedback.