Lyrics Ole Chizza - Fid Q feat. Rose Ree
Palipo
moshi
pana
moto,
Cheki
shisha/
Hapatoshi
kwa
huo
mtoko,
Feki
pisha/
Naona
pochi
yenye
noti
hauwezi
shika/
Usinichoshe
Mi
ni
Boss,
Mechi
kwisha/
Na
ka
ni
Rose
Rose
Nita
graph
bish/
Nikilenga
shot
sikosi,
Uta-survive
vipi??/
Naenda
Mosi
mosi
sio
kwa
kasi
bish/
Sina
low
stock,
Simpi
chance
snitch/
Sikuwa
na
Passport
wala
Password/
Au
PIN
lakini
mjini
nika-Crack
code/
Unataka
kuwa
mimi??
Ahh.
Basi
foji/
Hauna
code,
Piga
chini
naitwa
Land
lord/
Hakuna
mganga
zaidi
ya
Mungu,
Acheni
ushamba
washkaji/
Msijitie
gundu,
Kuweni
wapambanaji/
Kaza
kamba,
uweze
kuwa
in
charge/
Kenge
hawi
mamba,kwa
kukesha
ndani
ya
maji/
Ukiwa
hey
bebe
hauwezi
hustle
ka
mimi/
Hauwezi
we
kuwa
mi
we
kaa
chini/
ANHAA!
Mzee
sifumbi
macho
usingizini/
Vya
bei
ya
chee
we
kaa
navyo
mi
vya
nini?/
Ole
Chizza
Ole
Chizza
Mi
sijikwezi
acha
ukaksi,
Boss/
Ukiona
sipendezi
rusha
basi
pochi/
Mambo,
Yote
kwa
soksi/
Dudu
bongo
du
kinaa
mzaa
huzaa
mkosi/
Umaskini
sio
dhambi,
Japo
sio
jambo
jema/
Haupati
manzi
ukiwa
hauna
jambo,
Yaani
ndio
basi
tena/
Mi
ni
mjeshi,
Kwenda
race
sioni
kesi
kid/
Bila
cash,
Hauwi
freshi
hauiwezi
league/
Baby
girl,
Unahitaji
kuni
please,
Nataka
nile
shot
kama
kennedy/
Uko
na
desperate
disease,
Na
mimi
ndio
ile
dangerous
remedy/
Laana
sijapewa,
kutwa
ninaombewa
na
mama/
Ukinipa
mihadi
hewa,
Mi
nachukua
hatua
chanya/
Na
sijawahi
jivika
umasihi/
Makuzi
hayafai
ndio
maana
Baba
wa
taifa
alificha
CV/
Ukiwa
hey
bebe
hauwezi
hustle
ka
mimi/
Hauwezi
we
kuwa
mi
kaa
chini/
ANHAA!
Mzee
sifumbi
macho
usingizini/
Vya
bei
ya
chee
we
kaa
navyo
mi
vya
nini?/
Ole
Chizza
Ole
Chizza
Er
day,
they
ask
how
am
doing/
Nawauliza
kwenda
kasi
nyie
hamjui?/
Hamkui??
Hamkui
kui,
Dafu
hamfui/
Gamba
nyeupe
na
nyeusi
kama
chui/
Fresh
after
death,
Mi
ndio
King
wa
ma
Queen/
You
better
take
a
bow,
Whenever
i'm
coming
in/
Hata
wakisema
mi
nazidi
tu
kuwin/
Wana
hate
the
stage,
Hawana
budi
ku
sing/
Anhaaaa.!
Ole
Chizza
Ole
Chizza
Ole
Chizza
Ole
Chizza
1 Mafanikio
2 Masta ( Intro)
3 Mzee Mbuzi
4 Fresh
5 Ole Chizza
6 Hustle
7 Maselabration
8 Big
9 Boss
10 Bongo Hip Hop
11 Fame
12 Kiberiti
13 Kemosabe
14 Kitaaolojia ( Interlude)
15 Familia
16 Tajiri Yangu
17 Hello Darling
18 Ulimi Mbili
19 Love
20 Mama Cheusi
21 Sky High
22 Hauniambii Kitu
23 Sumu
Attention! Feel free to leave feedback.