Lyrics Maselabration - Fid Q , Chin Bees
Usiwe
mbinafsi
ka
jogoo,
Kuamini
kuwa
jua
uchomoza
ili
yeye
tu
awike,
Kila
nafsi
yenye
roho,
Inaeza
kuwa
kama
ilivyo
ota,
ili
mradi
tu
isisite
Kufika
mbali
ni
lazima
ujipange
mwanzoni
Ukitaka
kuiba
kengele
weka
pamba
masikioni
Tunakichanga
deile
kutamba
hatukomi
Mwenye
mkwanja
ukiwa
nyuma
ake
anaisi
utamkaba
hauoni
Tutete
sisi
vicheche
freeze
hatari
taabu
Mcheke
chizi
kama
umefunga
kizazi
babu
Mtete
fid
mapepe
mdiss
na
hupati
clap
Kete
please
usimteke
chid
hauhitaji
A-Rap
Mama
Aminaaaa
(amina,
minaa)
Yamejaa
haiwezi
pima
mechi
hubuma
hapo
hapo
Hakuna
huruma
hapa
ita
chuma
kichaa
Ukileta
vyuma
natafuna
na
ninatuna
hadi
kwapa
Nakujua
sikujui
hainifanyi
nikuamini
Unazingua
huzingui
unautani
na
mimi
Nishaanua
hivo
sifui
unaelaani
unanini?
Paka
nishatua
nichukue
ya
halali
yangu
madini
Maselabration
to
ooh
yeah
Yani
masela
wote
wanasebenza
ooh
yeah
Maselabration
Yani
masela
wote
wanacelebrate
ooh
yeah
Eeh
maselabration
Nyonga
washa
tuvute
Wacha
viwake
sasa
mpaka
kukuche
Nyonga
washa
tuvute
Wacha
viwake
sasa
mpaka
kukuche
Nanyonga
kama
key
nawasha
kama
dudu
vuta
pumzi
kama
longomba
Wacha
viwake
sasa
mpaka
kuche
Nanyonga
kama
key
nawasha
kama
dudu
vuta
pumzi
kama
longomba
Wacha
viwake
sasa
mpaka
kukuche
Uswahilini
wananitambua
kama
juju
Nikitua
wafitini
wanacheua
gubu
Umasikini
hatuuzimii
hatuuhusudu
Hautulii
kama
ulimi
kwenye
jino
lenye
mdudu
Ukiwa
masikini
ni
ngumu
sana
kuwa
gentleman
Hauwezi
kumfungulia
mpenzi
mlango
wa
daladala
Unapigwa
chini
ukitaka
demu
bwana
nyetoman
Yasiyo
na
pangwa
yanakua
mengi,mapenzi
ni
ufala
Kuuzunguka
mbuyu
sio
dawa
ya
shetani
Kutojua
kutojifunza
ni
sawa
kiundani
Kujuza
kujikuza
ni
lazima
udanganye
Mshachuja
mnakuja
mpunguze
hatulingani
Nakujua
sikujui
hainifanyi
nikuamini
Unazingua
hauzingui
unautani
na
mimi
Nishaanua
hivo
sifui
unaelaani
unanini?
Paka
nishatua
nichukue
ya
halali
yangu
Maselabration
ooh
yaeh
Yani
masela
wote
wanasebenza
ooh
yeah
Maselabration
Yani
masela
wote
wanacelebrate
ooh
yeah
Eeh
maselabration
Nyonga
washa
tuvute
Wacha
viwake
sasa
mpaka
kukuche
Nyonga
washa
tuvute
Wacha
viwake
sasa
mpaka
kukuche
Nanyonga
kama
key
nawasha
kama
dudu
vuta
pumzi
kama
longomba
Wacha
viwake
sasa
mpaka
kukuche
Nanyonga
kama
key
nawasha
kama
dudu
vuta
pumzi
kama
longomba
Wacha
viwake
sasa
mpaka
kukuche
Wacha
viwake
sasa
mpaka
kuche
Wacha
viwake
sasa
mpaka
kuche
1 Mafanikio
2 Masta ( Intro)
3 Mzee Mbuzi
4 Fresh
5 Ole Chizza
6 Hustle
7 Maselabration
8 Big
9 Boss
10 Bongo Hip Hop
11 Fame
12 Kiberiti
13 Kemosabe
14 Kitaaolojia ( Interlude)
15 Familia
16 Tajiri Yangu
17 Hello Darling
18 Ulimi Mbili
19 Love
20 Mama Cheusi
21 Sky High
22 Hauniambii Kitu
23 Sumu
Attention! Feel free to leave feedback.