Fid Q - Love Lyrics

Lyrics Love - Fid Q



Ayo Lizer
Love is blind and it'll takeover your mind
What you think is love it's truely not
You need to elevate and fine
Love is blind and it'll takeover your mind
What you think is love it's truely not
You need to elevate and fine
Haliweki uadui halijui bifu
Na halichagui halibagui wakumsifu
Halinipasui halinitesi halijui vitu
Nawala halitambui kuwa fake haikuwi ishu
Na haliwezi kuboa halisononeshi
Glove leta ndoa na doa halijioneshi
Unakua mng'aavu na umepoa ukitoa tu laonyesha
Au hata mchafu asie boa akikohoa kwa romance yo
Love is love is love
Love is love is love
Love is love is love
Love is love is love
Love is love is love
Love is love is love
Hey, sipendi kujipa ka stole away
Mapenzi nitiba unayonilipa ukinipa sishei
Yanaumiza kichwa kabisa mjita sikosei
Akiniita naitika na sifa pipa halienei
Na hakuna demu mbaya labda awe lazy tu
Wanaojiona wako on fire wana-baby faces tu
Wanaojijali hawakujali hao ni selfish boo
Ukiniita darling unanipa mali au ni sex tu
Penzi haliwezi leta pumzi ni kikohozi tu
Halipendi gozigozi haliji kwa ubosi
Haliji kwa urozi, haliji kwa ku-force
Kujifariji ilibidi hadi gwiji nijitose
Na siku hizi hakuna kushuswa toka mbinguni
Ujinga ni kuabudu vumba na umpendae hana hata sumni
Na mti mmoja haujengi fensi fuata kanuni
Acha kuroga usi-revange muachie tu mume
Mapenzi ni bahari leo tulivu kesho wimbi
Mapenzi sio mali ukiwa huna kitu usiwe-sting
Shida sio mbali ila mashaka asiwe mingi
Paka halali chali na ukimpa papa halindi
Love is love is love
Love is love is love
Love is love is love
Love is love is love
Love is love is love
Love is love is love
Love is love, love is love (love is love, love is love)
Love is love, love is love (love is love, love is love)
Love is love, love is love (love is love, love is love)
Love is love, love is love love (love)
Love is love is love
Love is love is love
Love is love is love
Love is love is love
Love is love is love
Love is love is love



Writer(s): Fareed Kubanda


Fid Q - Kitaaolojia
Album Kitaaolojia
date of release
13-08-2019




Attention! Feel free to leave feedback.