Fid Q feat. Taz & Mellisa John - Hauniambii Kitu Lyrics

Lyrics Hauniambii Kitu - Fid Q , Taz



Oh oh oh
You got nothing on me
You got nothing on me
You know that for sure
You know that for sure (ooh ooh)
Eeh! You got nothing on me
Woow! You got nothing on me
I know, I know for sure
I know ooh
You got nothing on me
Ooh! You got nothing on me
Ooh! I come as you there so
Wengiwenu hamna mchongo ila ni mbwembwe tu naskia
Mnachojua ni mikogotu nyie ni kenge wakuishia
Sio mamba sio miamba washamba muende tu mkinichukia
Nyie ni waongo hadi siamini kinyume cha yale mnayonambia
Kununua usichohitaji ni sawa na kujiibia
Akili kubwa mashikaji haina padi ukiitumia
Nichape kazi nipate ulaji nichaji mzidi kuumia
Mfuate hadi mkate mdadi siachi spidi ya dunia
Haaa! Usimuone aimba kaloa ukadhani ni paka
Haaa! Usilete ujinga ujue nikimbwaya nikitoa nachapa
Kunatofauti kati ya doa na baka
Ukisema hunigusi ujue sio poa (minakiwasha)
Nahiwezi poza uji wa moto kwa ncha ya ulimi
Na hofia ni uwoga tu ka mjomba wa moto chini
Ukiiba ajili ya boss ipo siku utamuibia
Awe akiba tu yamachozi kwanye vichwa analilia
You got nothing on me wooow
You got nothing on me (you got nothing on me)
I know (I know) I know for sure (I know)
I know ooh
You got nothing on me (ooh no no no)
Ooh! You got nothing on me
Haunambii kitu (for sure), hamna kitu utanambia
Haunambii kitu (for sure), hamna hamna kitu utanambia
Na naamsha sana kiasi kwamba nahitaji nap now
Fanya yasiyo wezekana wapi mnakwama hampati bow
Si-post picha ya utupu kisa itani-cost umaarufu no
Maisha ni zaidi ya utu sio insta Twitter au view za youtube
Ukishindwa kwa mkono jaribu kwa kichwa
Haupati ubingwa kwa promo ikiwa biff itafichwa
Hautoboi uongo hauongoi kabisa
Kitambaa wembe hakinoi kwa uzembe hauitoi (pisha)
Mnaniita mpenda makuu
Nakujua mnaniombea mikosi
Ni mjita nikienda huko juu
Nitue bila kuombea manoti haa
We breaking 'em rules' cause money talks
And a lion is just a dog, that went for a walk
Hamtaki shine mnaeka role stop sipendi mlimwopo
Mkate lini misio mtu wa sport mniache nitambe hadi New-York
Hauna vingi vya kushukuru basi shukuru hauna vingi
Huenda ungekufuru au uhuru ungeutumia kipimbi
Na siku zote mungu huwaga hakosei
I'm way up, I feel bless kama cheke (you got nothing on me)
You got no thing on me wooh
You got nothing on me (you got nothing on me)
I know (I know), I know for sure (I know)
I know oow
You got nothing on me (you got no no)
You got nothing on me (you got nothing on me)
Ooh no ooh, haunambii kitu (for sure), hamnakitu utanambia
Haunambii kitu (for sure), hamna hamna kitu utanambia



Writer(s): Fareed Kubanda


Fid Q feat. Taz & Mellisa John - Kitaaolojia
Album Kitaaolojia
date of release
13-08-2019



Attention! Feel free to leave feedback.