Wakadinali - Interlude Lyrics

Lyrics Interlude - Wakadinali




Mum wana- wanalipua mtu mum, nyamaza(eh)
Nyamaza
(Nani analipua?)
Mum polisi sita(mh)
Wamemulipua risasi kumi na moja(mh)
(Mtu gani)
Sijui, amelala chini(mh)
One two three four five six seven
(Nani wangapi wamelala chini?)
Maaskari wa saba
(Nani wamelala chini?)
Ni mtu mmoja



Writer(s): Mama Mboga



Attention! Feel free to leave feedback.