Wakadinali - Kim Jong Un Lyrics

Lyrics Kim Jong Un - Wakadinali



(Alex Vice)
(Afvrika?)
Dunga, agents mtaani (mtaani)
Youths waliingiza round Umoh two
Kudunga nduthi mtapo na ma-three
Real definition ya thug
Umesikia report ya DCI?
Bro amekuwa Kim Jong Un
Mpini ndeng'a ni impromptu
Dunga, agents mtaani (dunga)
Youths waliingiza round Umoh two (ingiza)
Kudunga nduthi mtapo na ma-three
Real definition ya thug (thug)
Umesikia report ya DCI?
Bro amekuwa Kim Jong Un (bro, bro)
Mpini ndeng'a ni impromptu (yo, yo)
Ndo ujue snitch hana haki kutathoka
Morio alinifichia white ju ni nyoka
Hater, yard kwao saa sita
Kupunguza hasira mi' humkuta
You huji-find ngware kwa mrota huyo mkora
Na ndio mahali usiku aling'orota
Riswa, wali-come na nguvu za giza wakaokotwa
Wakaita Mungu na Jesus waliokoka
Wasenge walibeba mawe kwa fight
Wakatokwa, wallet kwa toja
Ma-Hessy si' waukula rwabe rwabe
Walihema bribe tu na mi' nikatoboka
Manze si Mungu ni wa maajabu?
Hio kesi ilikuwa blunder na brathe nikamonchoka
Masenke walihepa zabe
Hessy akashanda boyz hakukuwa mboka
Za Dosh ni ma-emoji, oh Gosh
Na ni vile yunikalia kwa mboto, Azziad Nasenya
'Nashuku hapa laz'ma nitagenya
Nyonyo zimesimama dashboard
Plus kuna picha alinitumia huyo manzi na ni senye
Wazee wa kulea upuzi waende nje
Sai nitawa-report hizo biashara haziko
Z-zaga za mtaa juu ya ghorofa
Mi' huziona full resolution, HD
Secret agent MI6 warudi tuition
Mi' huzimwa tonji kama niko riko
Sema, nilipata missed call
Dunga, agents mtaani (mtaani)
Youths waliingiza round Umoh two
Kudunga nduthi mtapo na ma-three
Real definition ya thug
Umesikia report ya DCI?
Bro amekuwa Kim Jong Un
Mpini ndeng'a ni impromptu
Dunga, agents mtaani (dunga)
Youths waliingiza round Umoh two (ingiza)
Kudunga nduthi mtapo na ma-three
Real definition ya thug
Umesikia report ya DCI?
Bro amekuwa Kim Jong Un (wapi? Yo)
Mpini ndeng'a ni impromptu
Chogi haelewi venye hio squad iliingia na kuna bomb detector
Waliotea morio wakasafisha kama nuclear wakakula vector
Sahi kuna order imefika shoot to kill, ni wa armed and dangerous
According to raia, body za gavana intel ya federal
Songa jo morio, kuna exchange hio pande ya Nyando (sio)
Copanol moto ana-face madingo walikula na Nandos (yo)
Sahi uko kwa list ya tano na kwa mdomo za Wathii ka-Saigon
Sijui tucheze flat nayo tunakuona hadi kwa widows uploads
Crime si' rahisi jo', bro' ako na deng'a na hajui kui-cock
Ulipatiwa fit, freezy, kumbe jo' hunaga kijiko
Uliingizwa baridi na cops, kama maiti imelala kwa njifi
Hausikii shit, umekuwa binti ya the Danton, kiziwi
Ten times uliambiwa na folks
Ona sasa una-obey gravity force
Mbleina si ukapige report
Nangoja kukus'kia kwa Gidi na Ghost
Avoid huyo cop ka' unaweza
Kwanza ako idle na hanaku-form
Nilifanya dem yake nikamgeuza wife
Sahi ako kwa bed of roses
Dunga, agents mtaani (mtaani)
Youths waliingiza round Umoh two
Kudunga nduthi mtapo na ma-three
Real definition ya thug
Umesikia report ya DCI?
Bro amekuwa Kim Jong Un
Mpini ndeng'a ni impromptu
Dunga, agents mtaani (dunga)
Youths waliingiza round Umoh two (ingiza)
Kudunga nduthi mtapo na ma-three
Real definition ya thug
Umesikia report ya DCI?
Bro amekuwa Kim Jong Un (bro, bro)
Mpini ndeng'a ni impromptu (ndeng'a)



Writer(s): Alex Kimani, David Munga, Salim Tangut


Wakadinali - Victims of Madness
Album Victims of Madness
date of release
28-11-2020




Attention! Feel free to leave feedback.