Wakadinali - Nyaranyara Lyrics

Lyrics Nyaranyara - Wakadinali



Peng ni Ayela na geng ilimnyora design ya nyara nyara nyara
Mraa tunairun bila haya
Na gat ni kilalio ya jana
Joke's on you mnatupima, liars manze hio ni nini mnafanya?
Mavedi walipumua fire (ha)
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire (ha)
Exactly niliwadanganya
Peng ni Ayela na geng ilimnyora design ya nyara nyara nyara
Mavedi walipumua fire (ha)
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire (ha)
Exactly niliwadanganya
Nine months unatry kudeliver hatukuonei huruma huko unless una mimba
Ngwai East imepeleka vijana wengi
Inda it's high time Kenya ikuwe legal
Ni heri uangushe kinde CBD njoka wako rada ukikojoa watakushika
Mister, at least try jo kubehave staki damu imwagikie my linen t-shirt
Naskia mnanitafuta, mpaka mnanifuata kwa duka
Stepper, mi hukanyaga kubwa ukikuja sana perhaps utakulwa
Unafaa kujua nani ndo kushuta before kunukisha hii mtaa unaeza juta
Mbepa si hufungia gunga hakuna ni Sunday mzae jo amefunga
Me huflip ka beats za Afrika niliwaachia hiphop sikuizi Man-a-Driller
Mabiz za mpini si hupiga kwani si ata judge alipardon killer
Splash splash tukifika itoke inaspark ma opp wanaitika
Trap trap to saa tisa ni mboka nilikuwa hapo hio jogoo ikiwika
Nimeona Subri ikinipita I think kwa hio rounda scene ilipigwa
Bruce iliskika, street iliwika, Black alikam akanyambisa
Naskia mi mchafu spitter ni ka me huandika hizo ngoma kwa pipa
Kudus informer though hakunipata nilikuwa naoperate na beeper
Peng ni Ayela na geng ilimnyora design ya nyara nyara nyara
Mraa tunairun bila haya
Na gat ni kilalio ya jana
Joke's on you mnatupima, liars manze hio ni nini mnafanya?
Mavedi walipumua fire (ha)
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire (ha)
Exactly niliwadanganya
Peng ni Ayela na geng ilimnyora design ya nyara nyara nyara
Mavedi walipumua fire (ha)
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire (ha)
Exactly niliwadanganya
Kuna vile Covid naitii kitu moja
Daily, coro 19 nilinona
Cyber ronging different locations wolan tunaidoingi normal
Fake kings nazidi kuwawinda
Ka ulidhani hio ndio ilikuwa mechi gwan hii ndio dimba
Peng ni ayela, msupuu
Mans na Domani naishi life bila filters
Sina hadi maarifa
Mi nilidhani shore nilikuwa nabonga naye insta ni Risper
Nikihama me huenda na kamba za nguo I wish ningekuwa KPLC
Arif alikua MCA
Sai ni MP anarepingi Westie
Sikumeet huyo msichana (no,no)
Nilidate hio vagina
Ndoch una manzi ndechu
Ushai mwanikanga kwa mneti, apana
I was high school ManADriller
Tangu enzi za Insyder
Nina ndoto za maziwa mrefu
Inaweza lipa debts zote za Mchina
Watch what you're talking kwa pods timeline yako inatick-tock
Nina maboys Kise huko Ngong walipanua riko sai wanamanifacture Richot
Peng ni Ayela na geng ilimnyora design ya nyara nyara nyara
Mraa tunairun bila haya
Na gat ni kilalio ya jana
Joke's on you mnatupima, liars manze hio ni nini mnafanya
Mavedi walipumua fire
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire
Exactly niliwadanganya
Peng ni Ayela na geng ilimnyora design ya nyara nyara nyara
Mavedi walipumua fire
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire
Exactly niliwadanganya
For real
Heri nitoke siezi kukutusi Twitter mimi
OCS OCS alisema tupotee na tusiwai rudi mjini
Wananiita Dangote, na me sijui kwa nini
Nyong'inyo zangu zinatee sivui viatu nikiwa kwako mimi
Tenje ipotee nishakuwa Houdini
Sanse atokee hii ngwai haizimwi
Mi sinanga fee bado najiamini
When you see me better #easy
Deep down they wanna be me
Hii mtaa chini ya maji niko na dini
Rhyme Gym Rong Rende ndani ya building
Combine kila rapper Kenya ndio unimake mimi
Wakiniona ni rizla na ganja
Nikishawachoma girimba narambwa
Mama mboga anachezanga na rada
Alinicall akanishow, "safisha, unasakwa"
Ju nina niggas waliiba na Ali Baba
Napandishanga middle finger kwa media na cover
Jana walikosa riba na rada ilikuanga ni mchana wakikimbiza mambanga
Sio easy getting this shilling
Me na bro kitchen we be distilling
Yeah I told you if you see him, you see me
I was not there but he gave you the same feeling
Undercover Google search
Undercover msupa cheza bubu tukifuck
Ka anakanja crew inakam
Wakiletaga ujanja crew inakam kuburn




Wakadinali - Victims of Madness
Album Victims of Madness
date of release
28-11-2020




Attention! Feel free to leave feedback.