Wakadinali - Morio Anzenza Lyrics

Lyrics Morio Anzenza - Wakadinali



(Afrvka)
Yeah, reputation ni same, gang ingemblein, ningekuja na ndeng'a
I can't believe this day, nilitoka jail nikakujiwa na dem
Hii ni ya day ones pekee, morio anzenza
Madenge madingo, plus mapinji wa Mukuru kwa Njenga
Reputation ni same, gang ingemblein, ningekuja na ndeng'a
I can't believe this day, nilitoka jail nikakujiwa na dem
Hii ni ya day ones pekee, morio anzenza
Madenge madingo, plus mapinji wa Mukuru kwa Njenga
Mi huzoza mamzinga
Zile kali kali kama machozi za simba
Mnabonga mtanishika shati kwa keja ya mabati, mmejificha wapi?
Mi huwanga na dinga
Lakini bado mi huenda rotejo huko Mtindwa
Huezi nitishia life, mi nilikuwa nadoz street na patipati nyi mkivishwa nappy
Mi ni Rong Rende boy, machachari
Say it to my face, una-beef kina nani?
Oh my gosh, samahani, mitishamba ndio mboga plus ugali flani
Hizi side, miracle hazifanyikagi
Msee aliniroga aliniacha ka amenilaani
Rap game haitaki chali
Na usishangae mbona, juu ni mi nimei-marry
Lay down flat, stay on your lane, in case haujajua utapepetwa
Serial killers, hatu-fightingi terror, in short, tume-upgrade weapon
Fake-ass niggas, back-biting haters, kazi ni ku-update status
Wivu juu ni si paper chasers, kwa kila bus station, BS hadi Afya Centre
Mi sichezi wazeiya, mi ukini-cross utagenya
Kuna dem anashinda akiteta, akikuja asipate mbogi kwa keja
Fine gyal lakini huwezi sema, pia yeye ni jeshi ya kusumbua feds in Kenya
Mayengs hunipenda, shori ndeng'a anataka kuchukua selfie tena
Sisi zetu ni hustle, acha tukuwachie we king castle
Managerr alirudishwa home juu promoter alidai ku-meet Dosh in person
Niko kuber na mandom, eh, pale Instagram, I wrote this caption
Munga, mi hutembea na ma-chrome
Ata nisipo-act utavuliwa na Kovu vihasho
Siendi, siendi, waambie watafute plan B
Ndio nikuje watume kwa paybill, nyi ma-promoter siwapendi
Shughuli kubwa huku spending, hakuna kitu fupi kaa wikendi
Ongea bas, what you can't be, appearance, 10 Gs
Nikizoza hawapendi, hii ni ya Gikomba na ni Fendi
Huku ni kubaya, nimeona mengi
Mpaka mandugu malaya, washenzi
I never knew they will play me
Namaanisha kwa radio na telly (Ay)
Revenue looking crazy, nitakodesha ka-Benzo na Bentley
You talk much, hautendi, youth fund iko pending
You fuck niggas just can't be serious, bullshit's trending (Ay)
These old niggas can't bear me, these new niggas ain't family (uh)
These old niggas can't bear me, these new niggas ain't family
Nakuwanga raw, on the low but naeza burn na boy
Kidogo nikang'e mbang'a, woi
Nikiwa mtoi nilikuwa na gun za toy
Obe babe (Yeah)
Obe babe si kidogo ni more
Ka ni mbali mi nafika, sijali na hali, mi mkali niko ndani
Ndani Kamali nafika bei, bila chali, nafika bei till Diani
Mtoto fulani, bei kali, lakini rhyme flow fiti ka Yeezy
How many times I'mma tell you this? I need a nigga like Kanyari
He making that money, he making a mummy go low ka chasing da culo
Feeling da lingo, feeling da brew huh
The brewery, Bella Rosa
Cheki manzi bila ring, jegi fiti bila fake, wanadai kuni-feel
Obe baba hii ni real, obe baba hii na-kill, aki ya nani na-kill
If ulionanga kwa misitu, panda miti bila kitu (Ay)
Listen, ati ma-slay ndio ni wale wa obe baba, bado mimi ndio ule washika hiyo ladha
Taste fiti kama lager, haga seti kama ladha, fika hiyo bei
Reputation ni same, gang ingemblein, ningekuja na ndeng'a
I can't believe this day, nilitoka jail nikakujiwa na dem
Hii ni ya day ones pekee, morio anzenza
Madenge madingo, plus mapinji wa Mukuru kwa Njenga
Reputation ni same, gang ingemblein, ningekuja na ndeng'a
I can't believe this day, nilitoka jail nikakujiwa na dem
Hii ni ya day ones pekee, morio anzenza
Madenge madingo, plus mapinji wa Mukuru kwa Njenga




Wakadinali - Victims of Madness
Album Victims of Madness
date of release
28-11-2020




Attention! Feel free to leave feedback.