paroles de chanson Acha Nilewe - Harmonize
Mmmm
Mwambie
achome
udi
Na
ubani
ii
Nimesali
eeh
Atimize
kusudi
Lilo
moyoni
ii
Ufurahi
eh
Maana
atatembea
furaha
Nayo
imegeuka
simanzi
Umenipa
jeraha
*pili
iliyofanya
nilie
mapenzi
Nashindwa
ata
kula
Mimi
sipati
usingizi
Dunia
mduara
mpaka
mi
kulipiza
siwezi
Pesa
hazikuwa
tatizo,
Nlimpatia
kila
hitaji
la
moyo
wake
Na
kama
sura
ndo
kigezo
Aliniambia
mi
ndio
chaguo
lake
Acha
nilewe
Mie
nilewe
Acha
nilewe
Mi
nina
mawazo
Acha
nilewe
Ohnilewe
Acha
nilewe
Niyapoteze
mawazo
Mpenzi
upepo
wa
bahari
Leo
kusimama
shwari
Akiamungu
sikujua
Tizama
usiku
silali
Tena
nakesha
nikisali
Nachotesa
mazoea
Kumbe
kosa
la
moyo
wangu
Ni
kumpenda
kwa
dhati
Nikataka
awe
wangu
na
nikaapa
simwachi
Liicha
ya
pendo
langu
Ila
bado
alinitaki
Iwapi
dhamani
yangu
ama
sina
maana
Yarabi
njoo
baba
Pesa
hazikuwa
tatizo,
Nlimpatia
kila
hitaji
la
moyo
wake
Na
kama
sura
ndo
kigezo
Aliniambia
mi
ndio
chaguo
lake
Acha
nilewe
Mie
nilewe
Acha
nilewe
Mi
nina
mawazo
Acha
nilewe
Ohnilewe
Acha
nilewe
Niyapoteze
mawazo
Oh
niache,
niache
niache
Eh
niache,
niache
niache
Oh
niache,
niache
niache
Acha
nilewe
Mie
nilewe
Acha
nilewe
Mi
nina
mawazo
Acha
nilewe
Ohnilewe
Acha
nilewe
Niyapoteze
mawazo
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.