paroles de chanson Nishapona - Harmonize
Imani
nafsi
inaniambia
Haukuwa
fungu
langu
Na
sidhani
kama
nilikosea
Kuukabidhi
moyo
wangu
Ulinidanganya
mapenzi
ni
zuri
basi
Panda
twende
safari
Bila
kujua
la
kwako
ni
mwendo
kasi
Ghafla
ukanipa
ajali
Upweke
umetawala
nafsi
Mwenzako
usiku
silali
Ninahesabu
mabati
Kisa
wewe
Sijutii
moyo
wangu
Kupenda
nisipopendwa
Sirudii
makosa
yangu
Ujinga
wakati
wakwenda
Kinachoniuma
roho
yangu
ooh
Kuwapa
neno
wahenga
Maana
si
kwa
posti
zangu
Na
kujinadi
napendwa
Nishapona,
nishapona
Nishapona
ila
mazoea
Basi
nenda
umwambie
Nishapona!
Oooh
mwambie
Basi
umwambie
eeh
Nishapona
ila
mazoea
Heshima
kunyenyekea
Nilivyomnyenyekea
Akaniona
si
chochote
kwake
Mazima
akanipotezea
Akanipotezea,
alipomaliza
shida
zake
Na
bado
siamini
kweli
ndo
yule
Alokuwa
akisema,
halali
asiponiona
Na
kujilisha
ya
nini?
Yote
ni
bure
Nikamwita
chanda
chema,
alinidanganya
Zile
miziki
za
kunichombeza,
zinaniuma
roho
Mara
akinidekeza,
elaji
njoo
Ungesema
nilipoteleza,
nikamwomba
koo
Si
vyema
amenitelekeza
mb
kisadooo
Basi
nenda
umwambie,
nishapona!
Oooh
mwambie
Basi
umwambie
eeh
Nishapona
ila
mazoea
Basi
nenda
umwambie,
Nishapona!
Oooh
mwambie
Basi
umwambie
eeh
Nishapona
ila
mazoea
Nenda
kamwambie
naja
Nenda
kamwambie
naja
Basi
nenda
kamwambie
naja
Nenda
kamwambie
naja
1 Kwa Ngwaru
2 Bwege
3 Niteke
4 Atarudi
5 Bado
6 Magufuli
7 Matatizo
8 Never Give Up
9 Mbali
10 Niambie
11 Show me
12 Shulala
13 Paranawe
14 Show Me What You Got
15 Aiyola
16 Nionyeshe
17 Sasambu
18 Sina
19 Nishachoka
20 Ndoenda
21 Acha Nilewe
22 Kidonda Changu
23 Dm Chick
24 Bed Room (Remix)
25 Penzi
26 Don't Go
27 Happy Birthday
28 Hainistui
29 Kushoto Kulia
30 Uno
31 Beyond Boredom (Day)
32 Inuka Ucheze
33 Roho
34 Ahadi
35 Balaa Jipya
36 Hujanikomoa
37 Imani
38 Kiuno
39 Nishapona
40 Pain
41 Tasafu
42 Bachelor
43 Nadeke
44 Bed Room
45 Nakadandia
46 Pepea
47 Komando
48 Body
49 Gelegele
50 Manoti
51 Ndoto
52 Mama
53 Mpaka Kesho
54 Malaika
55 Zabwa
56 I Miss You
57 Good
58 Fall in Love
59 Rumba
60 Wife
61 Die
62 Pipe Industries
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.