paroles de chanson Nionyeshe - Harmonize feat. Q Chilla
Oooh
mapenzi
Oooohoo
mapenzi
Meri
ishaweka
nanga
Usiwape
tabu
waganga
Eti
unilogee
ya
kazi
gani?
Zinga
kipande
cha
kanga
uje
tulicheze
vanga
Kisha
nioge
unikande
mabegani
I
wish
uone
moyo
wangu
ulivyojawa
makovu
uenda
utanionea
huruma
Nahic
we
ndo
dawa
yangu
umeshushwa
mwokovu
nisikumbuke
ya
nyuma
Mwenzako
nishapitia
mikasa
drama
kila
wakati
shahidi
yangu
mwenyezi
MmmH
Hadi
nikahisi
na
nyota
ya
kasa
Hama
sina
bahati
aah
katika
mapenzi
Basi
nioneshe,
nionyeshe
unavyo
nipenda
mwaya,
nioneshe
Unavyo
nipenda
mwayaa,
nioneshe
Mmmh
Unavyonipenda
mwayaaa,
nioneshe
Walionitenda
mpaka
waone
hayaa
Mmh
Jichunge
na
page
za
udaku
yasemwayo
ni
ya
uongoo,
akina
mangi
kimambi
Ogopa
na
manyaku
nyaku,
mahodari
wa
uongo
wasije
kuweka
kambi
Nikipata
tule
wote
nikikosa
utangoja
ndicho
tulale
Wasikutishe
chochote
wasio
isha
vioja
vichwa
kambare
Nikianguka
niokotee
tusimame
pamoja
sare
sare,
Hadi
tuzikwe
sote
utoke
ndonya
mkongoja
makonde
chale
I
wish
uone
moyo
wangu
ulivyojawa
makovu
uenda
utanionea
huruma
Nahisi
we
ndo
dawa
yangu
umekuja
mwokovu
nisikumbuke
ya
nyuma
Basi
nioneshe,nioneshe
unavyonipenda
mwayaa,
(basi
nioneshe)nioneshe
Unavyonipenda
mwaya(nioneshe)
Unavyonipenda
mwaya,
nioneshe
Walionitenda
mpaka
waone
haya
1 Kwa Ngwaru
2 Bwege
3 Niteke
4 Atarudi
5 Bado
6 Magufuli
7 Matatizo
8 Never Give Up
9 Mbali
10 Niambie
11 Show me
12 Shulala
13 Paranawe
14 Show Me What You Got
15 Aiyola
16 Nionyeshe
17 Sasambu
18 Sina
19 Nishachoka
20 Ndoenda
21 Acha Nilewe
22 Kidonda Changu
23 Dm Chick
24 Bed Room (Remix)
25 Penzi
26 Don't Go
27 Happy Birthday
28 Hainistui
29 Kushoto Kulia
30 Uno
31 Beyond Boredom (Day)
32 Inuka Ucheze
33 Roho
34 Ahadi
35 Balaa Jipya
36 Hujanikomoa
37 Imani
38 Kiuno
39 Nishapona
40 Pain
41 Tasafu
42 Bachelor
43 Nadeke
44 Bed Room
45 Nakadandia
46 Pepea
47 Komando
48 Body
49 Gelegele
50 Manoti
51 Ndoto
52 Mama
53 Mpaka Kesho
54 Malaika
55 Zabwa
56 I Miss You
57 Good
58 Fall in Love
59 Rumba
60 Wife
61 Die
62 Pipe Industries
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.