Текст песни Propaganda - Fid Q
Makochali
Polisi
wanasupport
gaingstar
rap
(Ili
wahalifu
waongezeke)
Wabanapua
kuimba
mapenzi
(Je
itafanya
ukimwi
usepe)
Media
znapromote
bif
(Wanadai
zinakuza
mziki)
Wadau
wanawasanii
wabovu
(Juakali
utatoka
vipi)
Hizi
ni
propaganda,
usiulize
ni
nani
ni
yupi
saa
ngap
ilikuaje
na
nani
iliiweje
Hizi
ni
propaganda
utaibiwa
ukicheza
plan
(ni
yule
last
king
of
scort
land
sio
iddiamin
wa
uganda)
(Verse
one)
Machungu
yanapozimwa
ili
ufunikwe
na
asieweza
Mbaya
zaidi
wanampa
promo
lakin
kwenye
shoo
unammeza
Hautaki
kuwa
tatizo
sababu
unaweza
tatuka
Huwez
jua
wap
ntatoka
iwe
gizan
nkitupwa
Wanaficha
ili
nsione
wakat
tayar
nshajua
Hamkomi,
igeni
nione
jinsi
msamba
mnavyoupasua
Ivi
unaishi
ili
ule
au
unakula
ili
uishi
Kumbuka
a
small
link
will
sink
a
ship
Mazingira
hatarishi
mawanafki
wanapesa
mbovu
Uswazi
tunaomba
mvua
znyeshe
ili
tutapishe
vyoo
Ogopa
kuoa
haraka
kama
unaogopa
taraka
Na
ukivote
in
a
hurry
ujue
unaproduce
corruption
Maneno
yao
matam
midomo
yao
inanuka
Ukipewa
usisahau
ukitoa
toa
bila
kukumbuka
Usihofie
kupitwa
ilimradi
muda
haukuachi
Amini
kesho
itafka
kama
ipo
ili
uipate
Tunachukiana
sababu
tunaogopana,
tunaogopana
kwasababu
hatujajuana
Hatujuani
sababu
tunatengana,
dunia
ni
nzuri
walimwengu
hawana
maana
(Repeat)
(Verse
two)
Polisi
huniita
mzururaji
na
wanajua
me
ni
MC
Kisha
hunipa
ishara
kama
wanavuta
radi
kwa
tasbii
Baya
lisilonidhuru
ni
jema
lisilo
na
faida
Nashkuru
kote
naskika
nnapotoa
haya
mawaidha
Kuanzia
kata
tarafa
wilaya
mikoa
hadi
ngazi
ya
taifa
Nkifa
siachi
scandle
nnauhakika
ntaacha
pengo
Kwa
hivi
vina
hata
wakulima
hujikuta
wanameza
mbegu
Pia
ni
kama
riberration
strugle
machoni
mwa
chegu
Ukiwa
mkali
kama
makochali
raia
watafeel
tu
Wajinga
ndo
hufa
kwa
wivu
sababu
hawako
real
tu
Rafiki
sio
rafiki
usipochanganya
na
kazi,
mlango
sio
mlango
hadi
ufungwe
au
uachwe
wazi
Hupaswi
kumwamini
muongo
hata
kama
akiongea
ukweli
Dhambi
kutumia
dini
kama
njia
ya
kutapeli
Wanajiingizia
kipato
kwa
kivuli
cha
misaada,
hawatufunzi
tuwe
viongozi
labda
viongoz
wa
kuwafata
Utata
huja
tunapoanza
kuwachunguza,
badala
ya
kuwafata
ndipo
siri
znapovuja
Tunajenga
tabia
kisha
tabia
znatujenga,
ukishindwa
kujiendesha
ujue
mwenyewe
tu
ulipenda
Kama
umevutiwa
na
asali
jiandae
kumkwepa
nyuki
Hauwez
kumtisha
kwa
mawe
adui
aliyeshika
bunduki
Ni
uchunguzi
tu
wa
kisayansi
ambao
haukufanikiwa,
kama
ng′ombe
kula
nyasi
tu
alaf
anatoa
maziwa
(Repeat)
End
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.