Fid Q - Propaganda (Bonus Track) текст песни

Текст песни Propaganda (Bonus Track) - Fid Q



Police wanasupport gangster
Ili uhalifu uongezeke
Wabana pua kuimba mapenzi
Itafanya ukimwi usepe
Media zinapromote beef
Wanadai zinakuza mziki
Wadau wana wasaniii wabovu
Jua kali ntatoka vipi
Hizi ni propaganda usiulize ni nani ni
Yupi saa ngap ulikuaje na nani ili iweje
Hizi ni propaganda utaibiwa ukicheza branda ni
Yule last king wa Scotland sio idd amin wa Uganda
Machungu napozimwa ili ufunikwe na asieweza
Mbaya zaidi wanampa promo lakini kwenye show nammeza
Autaki kuwa tatizo sababu naweza tatuka
Uwezi jua wap ntatatuka iwe gizani nilipotupwa
Wanaficha ili nisione wakati nishajua
Hamkomi igeni muone msamba navyoupasua
Hivi unaishi ili ule au unakula ili uishi
Kumbuka a small
Mzingira hatarishi mabwana afya
Uswazi tunaomba mvua inyeshe ili tusafishe vyoo
Ogopa kuwa haraka kama unaogopa haraka na
Uki vote in hurry ujue una produce corruption
Maneno yao matam
Midomo yao inanuka
Ukipewa usisahau
Ukitoa toa bila kumbuka
Usihofiwe kupitwa ili mradi mda haukuachi
Aamini kesho itafika kama ipo ili uipate
Tunachukiana kwa sababu tunaogopana
Tunaogopana kwa sababu hatujajuana
Hatujuane kwa sababu tunatengana
Dunia ni nzuri walimwengu hawana maana
Police usiniite mdhururaji na unajua me ni mcee
Kisha unipe ishara kama navuta radi kwa tasibihi



Авторы: Fareed Kubanda


Fid Q - Propaganda
Альбом Propaganda
дата релиза
19-03-2011




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.