Fid Q - Hey Lord текст песни

Текст песни Hey Lord - Fid Q

Hey lord
Hear my plea
I'm living on the streets i have nothing to eat
Hey lord what shall i do?
Do i become a hardcore gangster who gets a job sweeping the streets?
The richest man i see he's just right in front of me
Will i find joy and happiness in hustling and thugly
I want to build a palace and marry my princess
You've got to give me guidance cause my Patience is running out
Nyumbani ndugu wanauana ili warithi mali
Jela wanafungana wakati udugu kufaana
Najiuliza swali
Kisha napata jibu, nakubali kuwa maisha hayawi bila ubandidu
Palipo maslahi, usisite kuamua kuharibu ingali yu hai
Utatubu dhambi taratibu
Mwanadamu amemtawala mwenzie kwa kumumiza
Anakwapua mpaka hasivyo vihitaji bila kubakidha,
Hii inafanya,
Nafsi Yangu ikose subira ikose usingizi uoga huzuni na hasira
Hakuna kampeni za ukimwi nia ni kuuza mipira tu
Chanzo cha vita nyngi ss ni kupeana ajira tu
Misaada haitoki bila kudhalilishwa
Ma NGO's wanalipa maskini kisha wanawapiga picha
Uchumi uliopo haupo kwa maslahi ya wengi
Siasa imegeuka uhuni baadhi ya viongozi ni wezi
Ukishtuka kuona kichuguu utazimia ukiona mlima
Sikukuu nipe bunduki stak zabibu au dinner
Staki nguo ya sikukuu nipe gwanda niende chimbo¿?
Na mitaa inanipa ujuzi uwezo pia inanipa jina
Inahitaji ufanye uchunguzi ili upate maelezo ya kina
Me ni wa mwisho kulala pia ni wa kwanza kuamka
Usiku kucha uaga na jibanza kwnye ukuta
Sina shuka labda kama nmevuta kigoli
Sina mzuka na shtuka hata cha ukucha na mbonji
Au na nusa chupa ya gundi au petroli
Na kesha kama bundi sanjali na walinzi wa lodge
Maisha yangu yapo hovyo na navumilia msoto
Naona poa kuliko yale ya kwenye vituo vya watoto
Vyakula vibovu havifai kwa matumizi wasimamizi wanabaka mabinti
Sababu ya chipsi
Skuwa na jinsi zaidi ya kuamua kurudi street
Skuwa na jinsi zaidi ya kuamua kurudi street
Hey lord
Hear my plea
I'm living on the streets i have nothing to eat
Hey lord what shall i do?
Do i become a hardcore gangster who gets a job sweeping the streets?
The richest man i see he's just right in front of me
Will i find joy and happiness in hustling and thugly
I want to build a palace and marry my princess
You've got to give me guidance cause my Patience is running out
Tunageuzwa ma house boy na wanaozuga kutu adopt
Ukijifanya upo too big wanaku2pac
Me ni zaidi ya mtaftaji ndo mana sipumziki
Police wamepanda chart kwa sababu tu ya kunidiss
Hai maanishi na chukiwa ni vyema ungehc natumiwa
Nishawahi bebeshwa drugs na maiti bila kuambiwa
Magumashi ya kapitika na script sikuandikiwa
Watu wangu mashababi mnyonge hana nafasi
Kibonde anzisha ugomvi warume tuje kusearch
Nlikuw mtundu labda ndo mwanzo wa hisia
Na kana me sina gundu ingawa wengi walinbania
Na wakati wa kubusu mic na ibusu we fikiria
Wangapi wananuka mdomo mic harufu wa meiachia
Unaeza ukawa mgomvi na una black belt ya kupigwa
Enzi hizo ujanja ku break dance
Enzi hizo rap haipendwi kama buzuki
Nanyoa upara wa wembe napaka mafuta ya bunduki
Naijua ita bamba kama ngekewa tu
Mbuzi atakosa ndevu lakini ng'ombe atapewa
Mistari ndo silaha ya kwanza itayofanya wahenye
Itawakumbusha kwamba haima kandawile haina wenye
Ki umri nimekuwa na mziki tangu utotoni
Vitu vingi nnavyofanya mcees walifanya ndotoni
Wanasema me ni nabii pekee anaekubarika kwao
Zaidi ya msanii mazee nataka kuwa mshika dafu
Ilikuw ni some nightmare yote tisini magumashi yanaendelea
Sikuwa na jinsi zaidi ya kuamua kurudi street
Sikuwa na jinsi zaidi ya kuamua kurudi street
Hey lord
Hear my plea
I'm living on the streets i have nothing to eat
Hey lord what shall i do?
Do i become a hardcore gangster who gets a job sweeping the streets?
The richest man i see he's just right in front of me
Will i find joy and happiness in hustling and thugly
I want to build a palace and marry my princess
You've got to give me guidance cause my Patience is running out

Авторы: Fareed Kubanda

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.