Fid Q - Nyota Ya Mchezo текст песни

Текст песни Nyota Ya Mchezo - Fid Q




Waeleze wote wananyota ya mchezooo
We ni star Mimi ni star
Kila mtu ni staraaa aah aah
Waeleze wote wananyota ya mchezooo
Unawezajuta kuitwa superstar
Unaweza pigwa chupa bar
Kisa ulipepesuka ukajukuta umemgusa huyu jamaa
Hakuna mchumba huku amekaa nachizi
Sio lango la jiji
Sehemu nyingi hutokea musician ikazua balaa
Wala sio chuki binasi hatujui wapi tunakwenda
Tunantumia ili tuwachati mabwana zao waliowatena
Kidume anaweza kumchit demu wakati amemkabiz moyo wake
Anaweza penda game gafla akachukia player wake
Usitumie fame kama fimbo ya kuchapia wanawake
Utachukiwa kila sehemu napia ukimwi haukuachi
Ugomvi unaweza kupa jina lakin haukupi heshima
Sana watakuona mkorofi na mashavu watakunyima
Watakuzima ili usisikike utanuna kama mtoto wa kike
Utavimba utapasuka utatafuta raia uwapige
Mwisho wake unaweza pata mada kasi
Kisa umetajwa kwenye varse kumbuka huu ni mziki na
Wadosi ndo wazee wa mnada eti
We ni star Mimi ni star
Kila mtu ni staraaa aah aah
Waeleze wote wananyota ya mchezooo
Wew ni star Mimi ni star kila mtu nistar ooh ooh
Waeleze wote wanayota ya mchezooo
Hata mbalanwezi haing'ai bila kuchozaa
Mkono ukiumia mdomo faster huja kuupoza
Mdomo ukiumia ukiumia mkono huja kuupangusa tuu
Kama hujashuka bado uko juu
Kumbuka sio unasusa tu
Vigumu kuwa fidq
Misio ndumu unaweza vuta tu
Wasamehe wanaokuchukia kisa unavaa vizuri
Usiitenge familia kabla hawajakuchimbia kaburi
Mpende mwanao mpende na mke wako pia
Mweshimu usimkate mkate stimu
Sababu ya viruka njia
Wangi wameshachumbia waoe lakini wazazi wakagoma
Ili binti yao apone we msanii utamuua kwa ngoma
Watjob is this lakini ndo kazi alioichagua
Leo unafanya intavuu nawandishi wananiua
Hawaandiki kama ulioongea
Hutaisi kama wanakuonea usiwadis kwani utapotea
Wadaku kote wameshaenea
Maisha ni sanaa nivema ukatake care
Kila mtu ni star kama zabara au kibenea
We ni star Mimi ni star
Kila mtu ni staraaa aah aah
Waeleze wote wananyota ya mchezooo
Wew ni star Mimi ni star kila mtu nistar ooh ooh
Waeleze wote wanayota ya mchezooo
Hatuwezi kuwa kamali bila kuyaonja majaribu
Wezi walioniibia mashahiri ngosha siponao karibu
Hakuna haridhi bila mawe hakuna nyama bila mfupa
Ukitia pua kwenye maji kidevu nacho kitayagusa
Tunazaliwa tunalia siku yakufa tunajua nikwanini
Ukisubir harufu ya viatu utatenbea mpeku mjini
Tunashindwa kuwacontroo wadau kama hali ya hewa
Tunafanaya shows kwakias kidigo cha pesa tunachopewa
Najiona mwenyew utazani naishi nyumba ya vioo
Bila noma tunamwaga ndugu baada ya kuhama home
Kusingikua na giza je tungezijua nyota
Ushajiuliza bila Jesus wakristo wangapi wangeokoka
Macho yangu hayana pazia zia
Uhuru wangu unaishia shia pua yangu inapazia zia
Zingatia niliokwambia mbia
Waheshimu waliokuzaa usiwatrit kama mashabiki
Wakumbuke waliokusapot kabla hujaanza kuwaita wanafiki
We ni star Mimi ni star
Kila mtu ni staraaa aah aah
Waeleze wote wananyota ya mchezooo
Wew ni star Mimi ni star kila mtu nistar ooh ooh
Waeleze wote wanayota ya mchezooo
We ni star Mimi ni star
Kila mtu ni staraaa aah aah
Waeleze wote wananyota ya mchezooo



Авторы: Fareed Kubanda


Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.