Fid Q - Kila Siku текст песни

Текст песни Kila Siku - Fid Q




Ah
So yule akili kisoda, nguvu contena,
Huyu ni jeshi la mtu mmoja, ndo vile narudi tena
Tangu nazaliwa, I claimed to be the best lyricist
Hawataki beef, sasa wanataka publicity
Kugonga copy, inabidi uwe hustlenormalist
Usiogope mdosi, usiogope zake industrialpolitrix.
Gwiji ndo mi, the most dangerous MC Mwana'malundi!
So when the chief domcom, Im ready haina kwere
Ugali nnaokula sio wa kengele, You gotta love it
Or live it alone, Mistari yao siijui lakini ya kwangu ina flow
Wanai'flow kwa moyo, inawakosha kwenye roho
Oh, I push more rhymes like a Pimp pusher hoe!
Mi ndo Ngosha the don man, Rock city stand up
Im high like blue sky, the stars are laned up
Bado nafanya mziki, jina linazidi kukua
So tu mashariki afrika dunia nzima inanijua
Fid Q ni Farid Ila sio Kila Farid ni Fid Q
Utajiri wa Mashairi naamini ni wangu mimi tu
So, if you too wanna compete, you, better be incredibly good
Skiza hizi flow ujue hizi beats za Marco chali
Zina'sound kama Hit so zinapo'hit ni kali
Mimi sijali
Ndo maana Kila siku na'fight
Mimi sijali
Ndo maana Kila siku na'fight
Rapper gabachori inamuuma ushkaji sitaki
Huku nyangema mbeba vyuma anajaribu kuwa 2Pac
Leo ndo iwe Kesho you're already barred yesterday
Unataka kuwa the Next Notorius cause BIG is dead
Im here to preach, teach, Motivate and Entertain
Maasai huniita, Alagana! opaki te
Mashairi yanawapiga ka Bruce lee au Jacky Chain
Nafanya dharau iniheshimu, see im lucky man!
Fid Q sio Jina tu ni Bidhaa kama Pepsi
Ni zaidi ya hivi vina uvisikiavyo kwa kila verse
For gods sake! wadau husema na'fuck our endorsement
Benevolent, man Rhymes tamu zaidi ya Hot cake
Nahitaji shade sababu future iko so bright
Najua industry's crazy good career is the doughless
Ngosha nipo Conscious nipo nipo kama FA
Everyday Nipo focused na HipHop so hey baby
Its alright, its okay, jing'ate pua yako kama unaweza vyote
Kama mziki ni kitanda kidogo ntalala katikati
Vijiwe vya sikuhizi havichangamki bila ya kujisachi
Mimi sijali
Ndo maana Kila siku na'fight
Mimi sijali
Ndo maana Kila siku na'fight



Авторы: Fareed Kubanda


Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.