Текст песни Nionyeshe - Harmonize feat. Q Chilla
Oooh
mapenzi
Oooohoo
mapenzi
Meri
ishaweka
nanga
Usiwape
tabu
waganga
Eti
unilogee
ya
kazi
gani?
Zinga
kipande
cha
kanga
uje
tulicheze
vanga
Kisha
nioge
unikande
mabegani
I
wish
uone
moyo
wangu
ulivyojawa
makovu
uenda
utanionea
huruma
Nahic
we
ndo
dawa
yangu
umeshushwa
mwokovu
nisikumbuke
ya
nyuma
Mwenzako
nishapitia
mikasa
drama
kila
wakati
shahidi
yangu
mwenyezi
MmmH
Hadi
nikahisi
na
nyota
ya
kasa
Hama
sina
bahati
aah
katika
mapenzi
Basi
nioneshe,
nionyeshe
unavyo
nipenda
mwaya,
nioneshe
Unavyo
nipenda
mwayaa,
nioneshe
Mmmh
Unavyonipenda
mwayaaa,
nioneshe
Walionitenda
mpaka
waone
hayaa
Mmh
Jichunge
na
page
za
udaku
yasemwayo
ni
ya
uongoo,
akina
mangi
kimambi
Ogopa
na
manyaku
nyaku,
mahodari
wa
uongo
wasije
kuweka
kambi
Nikipata
tule
wote
nikikosa
utangoja
ndicho
tulale
Wasikutishe
chochote
wasio
isha
vioja
vichwa
kambare
Nikianguka
niokotee
tusimame
pamoja
sare
sare,
Hadi
tuzikwe
sote
utoke
ndonya
mkongoja
makonde
chale
I
wish
uone
moyo
wangu
ulivyojawa
makovu
uenda
utanionea
huruma
Nahisi
we
ndo
dawa
yangu
umekuja
mwokovu
nisikumbuke
ya
nyuma
Basi
nioneshe,nioneshe
unavyonipenda
mwayaa,
(basi
nioneshe)nioneshe
Unavyonipenda
mwaya(nioneshe)
Unavyonipenda
mwaya,
nioneshe
Walionitenda
mpaka
waone
haya
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.