Nandy - Acha Lizame (feat. Harmonize) текст песни

Текст песни Acha Lizame (feat. Harmonize) - Nandy



Yao yao jeshi
Ooi boy boy
Konde Boy
Maembe suru chuku chuku ni sosomolee
Mi naning'inia kwa marati nipopoe
(On the Beat)
Kiduchu nipe tena baba niue
Mi nakuzimia usizingue unisumbue wewe
Mapenzi yetu ni ya mimi na wewe tu
Usiskize watu wananongwa mbaya
Basi nifanyie kitu na box (lazizi wee)
Usiku nipe shoti (lazizi wee)
Ama ishike magoti (lazizi wee)
Nileweshe mkomboti (lazizi wee)
Ooh mi mwenzako imeshanikolea
My baby boy oooh ah
Ukienda zako mi nitanyong'onyea
Ooh mi mwenzako imeshanikolea
My baby boy oh ah
Ukienda zako mi nitanyong'onyea
Acha lizame!
Baby unapenda vya giza giza kama ujanizoea
Acha jua lizame!
Maana raha ya kuingiza ujue inapotokea
Acha lizame!
Unapenda vya giza giza kama hujanizoea
Acha jua lizame...
Mama unafanya Tembo
Kutwa nadindisha mkonga
We ndo kiboko ya warembo
Wale wanaojipitisha vitonga
Penye dhiki na shuruba
Mikeko ndo ulinikumbata
Piki piki upande Uber
Popote nilipo ukanifwata
Mimi bado wananiita mzugaji (nilingojea)
Sikidhi hata yako mahitaji (nilingojea)
Sina biashara mtaji (nilingojea)
Ulisema Mola ndo mpaji (nilingojea)
Ooooh maana nipande tumwage mbolea
Baby oh uh oh ah
Ukitaka tena tutaendelea
Oh oh ooh
Shamba mwaga maji nimwage mbolea
My baby oh uh oh ah
Ukitaka tena tutaendelea
Acha lizame!
Baby unapenda vya giza giza kama ujanizoea
Acha jua lizame!
Maana raha ya kuingiza ujue inapotokea
Acha lizame!
Unapenda vya giza giza kama hujanizoea
Acha jua lizame...
Why mimi kuuliza
Bora ningejitengea oh nah nah
Oii boy boy, oooii boy boy
Yeah yeah yeah yeah
Oii boy boy
The African Princess
Baby unapenda vya giza giza kama ujanizoea
Maana raha ya kuingiza ujue inapotokea
Unapenda vya giza giza kama hujanizoea
Asa why mimi kuuliza bora ningejitengea
Konde Boy!



Авторы: Nandy


Nandy - The African Princess
Альбом The African Princess
дата релиза
10-07-2020




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.