Rayvanny - Natafuta Kiki текст песни

Текст песни Natafuta Kiki - Rayvanny



Wasafi Records
Wasafi
Nataka nitoke kwenye gazeti niuze sura
Niseme ninatoka na Joketi
Kitandani kisha na fedha Kessy ama Snura
Nilete matata mpaka kwa Grace
Kwenye redio zote mpaka luninga
Nitangaze kwakuvimba kwamba Lulu ana yangu mimba
Au, niwatukane wote mnaoimba kwa dharau na kuvimba mpaka yule anayejita Simba
Niseme madam Rita katetema akiniona anashindwa hata kuhema
Au Vanessa kanena ananitaka na Jux atatemwa
Nataka nifanye sinema
Kwa Rosa na Ray si wema
Kiki ipi iko njema au niende kwa Sepetu Wema
Ati nitoke je?
Mwenzenu nitoke je?
Ati nitoke je?
Mwenzenu nitoke je?
Aah, aah, eeh
Nasikia uwoya mkali
Wanasemaga shishi asali
Wolper atakubali akibwage kihamo chali
Ninatafakari kichwani maswali
Nimtongoze Zari akijua Mondi si hatari
Eeh, Roze ndauka kajala pia hadi na Salama
Moze iyobo asije ninunia kwa aunt Lawama
Mkubwa Fela Tale Salam leaders
Nizushe pesa wame nipiga
Chegge na Madii wasije nikwida iyowe
Nataka nibadili ratiba kwangu isijeleta msiba nitoke Wasafi niende kwa Kiba (yow)
Ati nitoke je?
Mwenzenu nitoke je?
Ati nitoke je?
Mwenzenu nitoke je?
Nataka nifanye masekele
Sekele ooh sekele
Sekele ooh sekele
Sekele ooh sekele
Yani bongo nzima makelele
Sekele ooh sekele
Sekele ooh sekele
Sekele ooh sekele
Hii, nikinukishe kinoma noma
Sekele ooh sekele
Sekele ooh sekele
Sekele ooh sekele
Macho kuvimba wataisoma
Sekele ooh sekele
Sekele ooh sekele
Sekele ooh sekele
Ayo, Lizer



Авторы: Rayvanny


Rayvanny - Natafuta Kiki
Альбом Natafuta Kiki
дата релиза
25-11-2017




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.