Rayvanny - Sikupendi текст песни

Текст песни Sikupendi - Rayvanny



Sikupendi... (hmmmm)
Sikupendi... (aaaahh)
Sikupendi... (eeeehh)
Sikupendi (Max Maixer)
Sikupendi
Kichwa wanipasua Unanichapa fimbo Moyoni napata tabu
Unajishaua
Unamalingo
Kama una sura ya Dhahabu
Ni miaka sasa nakufata
Ndala zangu zote umekata
Kutoka tegeta hadi tabata
Mpaka visigino vimechacha
Mara nasikia kuna bakari kinyozi Ulishampa Hadi kaka yake Rose
Kwani we ni pilipili unitoe machozi Nikikufata waniletea mapozi
Mapenzi uvumilivu unajua
Ila kwako numeshidwa
Upendo sasa majivu
Umeungua
Basi mama we ndo Bima
Oooh mamy looh (Sikupendi)
Utanitoa roho (Sikupendi)
Kila siku jibu lako no (Sikupendi) Sikutamani ng'o
(Sikupendi) Naonyesha dhahili
(Sikupendi) Sikutamani tena (Sikupendi)
Nimeghaili (Sikupendi)
Na kwenu siji tena (Sikupendi)
Hadi nahisi gundu mzee mwenzenu Kila mambo nikiset
Nimegeuka mlinzi nyumbani kwenu
Kila siku kwenye geti
Nilikufata mpaka kigogo
Kwenye shughuri yake mama Asha Modo
Ukanitukana matusi nina shobo Pembeni yupo bwana yako Bengo Chogo
Akanitimba migumi kede kede
Nikawa mjinga tena bwege bwege Kama nimetinga
Pombe bege bege Alinishinda nikawa lege lege Heee
Eeeh Nakata tamaa kuwa nawe Nikirudisha kumbukumbu
Nilipo kuona na masawe
Kwenye guest ya manungu
Ulifanya nipagawe
Kwa mawazo na uchungu
Nilikesha nje oh mama wee
Nikawa chakula cha mbu
Mapenzi uvumilivu
Unajua Ila kwako numeshidwa
Upendo sasa majivu umeungua
Basi mama we ndo Bima
Oooh mamy looh (Sikupendi)
Utanitoa roho (Sikupendi)
Kila siku jibu lako no (Sikupendi) Sikutamani ng'o
(Sikupendi) Naonyesha dhahili
(Sikupendi) Sikutamani tena (Sikupendi)
Nimeghaili (Sikupendi)
Na kwenu siji tena (Sikupendi)
Oooh mamy looh (Sikupendi)
Utanitoa roho (Sikupendi)
Kila siku jibu lako no (Sikupendi) Sikutamani ng'o
(Sikupendi) Naonyesha dhahili
(Sikupendi) Sikutamani tena (Sikupendi)
Nimeghaili (Sikupendi)
Na kwenu siji tena (Sikupendi)



Авторы: Rayvanny


Rayvanny - Chombo
Альбом Chombo
дата релиза
08-04-2020




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.