Rorexxie - Watu Pori текст песни

Текст песни Watu Pori - Rorexxie



(Afande Sele, Huyu anaitwa kama yeye, bwana 20 Percent)
(Toka kwetu, Oooh simba wa tatu, Kaya'ntaletoni)
(Wanamkatili kuku, iweje mimi Simba?)
(Usiniite kasuku, Ikiwa mwenye shamba)
(Mbona mimi nimetulia masikini hua hafulii)
(Nimetulia masikini hua hafulii)
(Wanamkatili kuku, iweje mimi Simba?)
(Usiniite kasuku, Ikiwa mwenye shamba)
(Mbona mimi nimetulia masikini hua hafulii)
(Nimetulia masikini), Blacka (hua hafulii)
Sio mwengine simba dume
Hatoki kwingine chimbo Moro-, mtu pori mwenye mikuki na sime
Kumiliki mamlaka hana budi, ye ndio mfalme
Mkononi ana nyaraka, bado anaimarisha ngome
Amesimama yukowima, mtu mzima na kama anasema kitu
Wengine wanabakia kimia
Ye ndio mzizi, ye ndio shina
Mlajim' wa game na bado analipa uzima
Mfugaji wa mifugo, japo mingi haifugiki
Anatenda wema anakwenda na wala nyuma hageuki
Ni bush doctor, nenda rudi utamkuta
Anatiba nyama, mpaka wale wasiotibika
Anazeeka mwili, meno bado makali
Upeo wake zaidi ya akili, na vyeti vyako kaa mbali
Ni kama chumvi kwenye mboga, isipo kuepo haija noga
Kama ye anakata kauli bongo fleva haija songa
Mkali wa mashairi mwenye uwezo wa kutabiri (sure)
Lile na hili na kweli yote ya kajiri (mtazamo)
Anatambulika anaeleweka mbishi wa bongo
Halikofika, sipo hapo we ulipo
Kimuziki, ye ndio hip-hop top, mwanaharakati
Mpaka hapa alipo, haijalishi ana magari, hata beskeli ananyonga
Ana mwanamke haoni atari, ugali pia anasonga
Subiri akifa, mziki wake ndio mtaucheza
Mtamwaga sifa, pindi mtampo muomboleza
Ni alfela olela
Anaeshika utawala ana iwakilisha Afrika, we wakilisha mduara
Lina tapatapa mawidoni bila kulala
Dume la simba ukilikurupusha msala!!!
(Wanamkatili kuku, iweje mimi Simba?)
(Usiniite kasuku, Ikiwa mwenye shamba)
(Mbona mimi nimetulia), kama maji mtungini
(Masikini hua hafulii, nimetulia masikini hua hafulii)
(Wanamkatili kuku, iweje mimi Simba) waeleze
(Usiniite kasuku, Ikiwa mwenye shamba)
(Mbona mimi nimetulia), asilimaire (masikini hua hafulii)
(Nimetulia masikini hua hafulii)
Nikifunua mdomo naomba unipe masikio yako (tega sikio)
Maisha ni msimamo, kwaiyo fanya mabadiliko (changing brother)
Mziki wangu somo, basi soma kwa faida yako (soma ujielewe)
Tuliza akili chombo kama chema kwa miundo yako (kawaambie)
Ebu fikiria, ulipozaliwa kingeangukia kitovu ungemlilia
Nani mbona zina ning'inia
Eleni mtoto wakiume
(Astaghfirullah) mwanaume bora ujitume (piga kazi)
Uimarishe ngome, (sure) usiwe kama jike dume (sharobaro)
(Wanamkatili kuku), Sharobaro (iweje mimi Simba, (lion king)
(Usiniite kasuku, Ikiwa mwenye shamba) Bongo Flava owner
(Mbona mimi nimetulia), kama maji (masikini hua hafulii)
(Nimetulia), fukara hafilisiki wewe (masikini hua hafulii)
(Wanamkatili kuku), Sharobaro (iweje mimi Simba) lion king
(Usiniite kasuku, Ikiwa mwenye shamba) Bongo Flava owner
(Mbona mimi nimetulia), Kama maji (masikini hua hafulii)
(Nimetulia), Fukara hafilisiki (masikini hua hafulii)
Na hii na sibitisha, Hip-Hop (Hip-Hop)
Tunafundisha kuhusu maisha (Hip-Hop)
Ukipindisha mi'nanyosha na ziba
Kabla hujafungisha mi'naosha ndo mkoba
Acha mi' ndo teacher, ndo kocha galacha (yes)
Ndo mimi naanzisha na ndo namaliza picha (Sele) simba dume kweli
Sele jitu pori mfalme Sulemani wapili (Moro.)
Kama uwanjani nacheza kipa na ndani
Iyo smack down, uzito wa Great Khali
Na ngumi za Mohd Ali na mateke ya Bruce Lee (huhn-han)
Nguvu na viwango vyote n'navyo kwenye ulingo
Kunishinda kibwengo, labda isiwe game ya bongo
Money in the bank
Mbele ya mashabiki hapo hutoki, hata game ya kirafiki
Ntakuchapa kwa pointi knock out
Round moja hauvuki na uile tokama, ewaah!
(Wanamkatili kuku, iweje mimi Simba)
(Usiniite kasuku, Ikiwa mwenye shamba), father house
(Mbona mimi nimetulia), kama maji mtungini (masikini hua hafulii)
Fukara hafilisiki wewe, (nimetulia masikini hua hafulii)
(Wanamkatili kuku, iweje mimi Simba), kuku anamla nyama
(Usiniite kasuku, Ikiwa mwenye shamba), Eh! Kawaambie
(Mbona mimi nimetuli), Tuliiii (masikini hua hafulii), siku zote
(Nimetulia masikini hua hafulii)
Yeah, kawaambie, kawaelekeze wajue
Siku zote fukara hafilisiki baba
Tuna sema haya kwasababu, natambua mapema
Why maiti ya mbwa haichelewi kuzikwa?
-Ikishaoza, watu wataikimbia hawatoikaribia
Maiti ya mbwa inazikwa mapema, ikiwa ngali ya moto sio
Twende pamoja sio., Blacka laita
20 Pilisento, Oihh Afande sele



Авторы: Abbas Hamis, Issai Ibungu


Rorexxie - Bongo Records
Альбом Bongo Records
дата релиза
20-12-2023




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.