Rorexxie - Huyo Bwana Si Mfano текст песни

Текст песни Huyo Bwana Si Mfano - Rorexxie

Kushilendi shasha man (Man Water)
Rude Bwoy shut up ya band, 20 Pah... asilimare
One Happy
One blood!
(Huyo bwana si mfano)
(Huyo bwana si mfano)
(Huyo bwana si mfano)
(Huyo bwana si mfano, si mwema, si mwema, wakaanza kulalama)
(Si mwema, si mwema amebadilika sana)
(Huyo bwana si mfano)
(Huyo bwana si mfano)
(Huyo bwana si mfano)
(Huyo bwana si mfano, si mwema, si mwema, wakaanza kulalama)
(Si mwema, si mwema amebadilika sana)
Yamebaki malalamiko, toka nyumbani kwa ndugu zako
Walitumwa wadogo zako, wakarudi na masikitiko
Yamebaki malalamiko, toka nyumbani kwa ndugu zako
Walitumwa wadogo zako, wakarudi na masikitiko
Si mwema, si mwema, (Oohh) wakaanza kulalama
Si mwema, si mwema (Ooh) amebadilika sana
Yule aliyekuzaa ndie aliyewazaa (ndie aliyewazaa)
Na walichofuata toka kwako si fedha
Idadi ya watoto kama wakiulizwa, na wewe umo hawawezi punguza
Ila, ulipofika Dar-, umewasahau na kuwatelekeza
Umewatelekeza bila kutekeleza, hiyo safari yako kufika hautoweza
Pilika pilika zako toka we ufike town
Zimekupachika jina lako, 'Limbukeni'
Hulitaki tena jina lako lazamani la kijijini, tunakuita 'Limbunkeni'
(Huyo bwana si mfano)
(Huyo bwana si mfano)
(Huyo bwana si mfano)
(Huyo bwana si mfano, si mwema, si mwema, wakaanza kulalama)
(Si mwema, si mwema amebadilika sana)
(Huyo bwana si mfano)
(Huyo bwana si mfano)
(Huyo bwana si mfano)
(Huyo bwana si mfano, si mwema, si mwema, wakaanza kulalama)
(Si mwema, si mwema amebadilika sana)
Tumekwenda juzi na tumerudi leo (tumerudi leo)
Nyumbani kwake ni kufuli na komeo (ni kufuli na komeo)
Tume lala kwenye banda lile la video (banda lile la video)
Ndio tunarudi leo
Mi natabiri mwisho wake mbaya
Japo imuombei mabaya kwenye maisha haya
Anatuacha ndugu, anathamini malaya
Kama hajapata radhi, basi hata miwaya aah-ah
Si mfano., Huyo bwana si mfano
Si mfano., Huyo bwana si mfano
Tumezika ndugu, ndugu hujatokea, tuna kulilia kwa uchungu umepotea
Pua na Masiko vyote umetoboa, mtanzania mzungu umejichubua
Si mfano., Huyo bwana si mfano
Si mfano., Huyo bwana si mfano
(Huyo bwana si mfano)
(Huyo bwana si mfano)
(Huyo bwana si mfano)
(Huyo bwana si mfano, si mwema, si mwema, wakaanza kulalama)
(Si mwema, si mwema amebadilika sana)
(Huyo bwana si mfano)
(Huyo bwana si mfano)
(Huyo bwana si mfano)
(Huyo bwana si mfano, si mwema, si mwema, wakaanza kulalama)
(Si mwema, si mwema amebadilika sana)

Авторы: Abbas Hamis, Issai Ibungu

Rorexxie - Bongo Records
Альбом Bongo Records
дата релиза
20-12-2023

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.