Lyrics Chanda Chema - Diamond Platnumz
Platnumz
Chanda
chema
huvishwa
pete
Basi
pende
nikupende,
mi
nikuvishe
darling
Hongera
ya
punda
mateke
So
nisije
nikakupenda
ukanitupa
mbali
Lalalalalala
Ah!
Ooooh
Lalalalalala
Ah!
Ooooh
Lalalalalala
Ah!
Ooooh
Lalalalalala
Ah!
Ooooh
Chanda
chema
huvishwa
pete
Basi
pende
nikupende,
mi
nikuvishe
darling
Hongera
ya
punda
mateke
So
nisije
nikakupenda
ukanitupa
mbali
Ah
sitosema
hadharani
Ila
moyoni
nitaumia
Oh
zile
raha
za
chumbani
Nikianza
fikiria
Mmmh!
Najua
watasema
mengi
Tafadhali
usikiize
Si
unajua
hawapendi?
Lengo
lao
wakuumize
Najua
watasema
mengi
Ila
tafadhali
achana
nao
Si
unaju
hawapendi?
Lengo
lao
Lalalalalala
Ah!
Ooooh
Lalalalalala
Ah!
Ooooh
Lalalalalala
Ah!
Ooooh
Lalalalalala
Ah!
Ooooh
Zidisha
mahaba
niteke
Tena
nipe
vya
akiba
ulovitunza
ndani
Moyo
upate
maseke
Nisahau
hata
shida
zote
za
zamani
Ah
tena
fanya
hadharani
Ili
wazidi
chukie
Ah
fanya
hima
natamani
Muda
wao
umewadia
Mmmh!
Najua
watasema
mengi
Tafadhali
usikiize
Si
unajua
hawapendi?
Lengo
lao
wakuumize
Najua
watasema
mengi
Ila
tafadhali
achana
nao
Si
unaju
hawapendi?
Lengo
lao
Lalalalalala
Ah!
Ooooh
Lalalalalala
Ah!
Ooooh
(oooh)
Lalalalalala
Ah!
Ooooh
Lalalalalala
(lalala)
Ah!
Ooooh
Ayo
Lemme
dedicate
this
song
To
all
the
pain
in
the
ladies
Out
there
(Lalalalalala,
ah!)
It
is
what
it
is
man
(Ooooooh)
They
call
me
president
baby
(Ooooooh)
Wasafi
Lalalalalala
(eeeh)
Ah!
Ooooh
(ooh
lalalalala)
Lalalalalala
(ii
lalalala)
Ah!
Ooooh
(oooh)
Oooh
lalalala
Aaaah!
Oooh
lalalala
Aaaah!
Lalalala
Ooooh!
1 Acha Nikae Kimya
2 Baba Lao
3 Baikoko
4 Eneka
5 Fire
6 Hallelujah
7 I Miss You
8 Jeje
9 Kanyaga
10 Kesho
11 Kizaizai
12 Kwanini
13 Lala Salama
14 Mapenzi Basi
15 Mawazo
16 Mdogo Mdogo
17 Moyo Wangu
18 Nataka Kulewa
19 Niache
20 Nikuone
21 Nitarejea
22 Ntampata Wapi
23 Sijaona
24 The One
25 Ukimuona
26 Utanipenda
27 Binadam
28 Inama
29 Mapenzi Kitu Gani
30 Kidogo
31 Iyena
32 Salome
33 Mbagala
34 Nalia Na Mengi
35 Natamani
36 Nimpende Nani
37 Upofu
38 Kamwambie
39 Chanda Chema
40 Tulia
41 Sikomi
42 Kosa Langu
43 Ccm Number One
Attention! Feel free to leave feedback.