Lyrics Unaibiwa - Rayvanny
Ayo,
Lizer
Wasafi
Usidate
na
njonjo
za
mapenzi
Vicheko
bandia
usoni
kudeka
kumbe
ana
pretend-i
Maufundi
toka
Tanga
na
Zenji
Vionjo
mitego
unase
ashike
pochi
umwage
chenji
Anakuchanganya
kiunoni
shanga
Marashi
kama
uko
peponi
Mtoto
sauti
kinanda
Ya
kumtoa
chatu
pangoni
Ukishatafuna
karanga
Hutaki
hata
aende
sokoni
Anakuchuna
mafaranga
unabaki
na
vumbi
mfukoni
Ukiwa
na
pesa
utasifiwa
kitambi
"Baby
me
I
like
that"
Nakukupamba
kwenye
simu,
video
Snapchat
Kumbe
hana
maana
hadi
Mangi
Anamwita
sweetheart
Kisa
anakesha
gym
kutafuta
six-pack
Unaibiwa,
unaibiwa
Unaibiwa,
unaibiwa
Kuna
kina
Rose
visosa
Wale
wapenda
verosa
Ukipita
na
shati
na
moka
Lazima
watashoboka
Wakiomba
lift
ogopa
Miguu
dashboard
vishoka
Mchunguze
cheni
goroka
Nywele
na
pochi
kakopa
Eh
Usije
kuyavamia
yasije
yakakutesa
hawachelewagi
kukimbia
Kuna
wenzako
wanalia
walizani
mapenzi
pesa
kwenye
suruali
vibamia
Hata
ukimuonga
Ferrari,
hatokuona
rijali
Wakati
chumbani
we
beki
ukifunga
moja
tu
chali
Atakamatwa
na
mangangali
Vijana
machachali
Hawachagui
sehemu
ya
vita
uvunguni
na
juu
ya
dali
Ukiwa
na
pesa
utasifiwa
kitambi
"Baby
me
I
like
that"
Nakukupamba
kwenye
simu,
video
Snapchat
Kumbe
hana
maana
hadi
Mangi
Anamwita
sweartheart
Kisa
anakesha
gym
kutafuta
six-pack
Unaibiwa,
unaibiwa
Unaibiwa,
unaibiwa
Unadhani
niwapekeako
Kumbe
wengine
wameshaweka
kambi
Kakupendea
macho
Wapo
wengine
kawapendea
rangi
′Ye
ni
gari
la
dampo
Hachagui
taka
dereva
mpe
ganji
Wakubadili
sample
Akila
mihogo
karoti
hazipandi
Unaibiwa,
unaibiwa
Unaibiwa,
unaibiwa

Attention! Feel free to leave feedback.