Wakadinali feat. Boutross, Breeder LW, Abbas Kubaff, Elisha Elai & Dyana Cods - Avoid Those People ft. Boutross, Breeder LW, Abbas Kubaff, Elisha Elai, Dyana Cods Lyrics

Lyrics Avoid Those People ft. Boutross, Breeder LW, Abbas Kubaff, Elisha Elai, Dyana Cods - Wakadinali , Boutross



(Ayo Chino, you again?)
Avoid those people
Wenye hawakusaidii hawaezi kukujenga
Avoid those people
Juzi nilikula moro hadi sanse wakahepa
Avoid those people (Avoid them)
Cold Nairobi still naroweza
Avoid those people
Life ni bure survival lazima
Avoid those people
Wenye hawakusaidii hawaezi kukujenga
Avoid those people
Juzi nilikula moro hadi sanse wakahepa
Avoid those people (Avoid them)
Cold Nairobi still naroweza
Avoid those people
Life ni bure survival lazima
Kuna msee aliuza pena ju alipura
Tunauza nyama ya paka kwa mutura
Naziuza mimi na Bena
Backdoor tunapurura
Ati niaje Dosh anaroll na manzi na ni chura?
Niaje na ni Dosh, tungempiga picha but alificha sura
Ndani ya pothole nilifall
Na ni ju ya chingri
We uko wapi niko na ndeng'a na si dikwara
Fuck it, fuck it
Nilifall in love na nigri
Usiwai toka mbesh Chege hio ni swara
Avoid those people
Nilijam sanse akahepa
Avoid those people
Adam ningekuwa matheri hangependa
Avoid those people
I'm cold in Nairobi still naroweza
Avoid those people
Kuna matha ningemwokotea kibeti but angeniita thegi
Ulikuwa unasema nini brathe
Tumemwoket kuku blasé blasé
Tuna sweeti tumerunda na bei
Peremende sitakurunda ree
Sa izo ka niko macho nyanya
Walitry kunishika time ya Obama
Jump on them huko Burma
Walijifanya wanakula nyama
Naibia Paul kulipa Peter kuwashow vile kamare imeshika
Hao ni wa kuland walipotea tangu zile enzi za Greencard
Riomo ni deadman na anatembea courtko aligongewa
Last mile but execution huh, aliponea
Drunken master ki Munga's way
Modafucker from yesterday
Badder si lazima dread
Mi huchapa mpaka ananiita bae
Anadai ye hunionanga baze hajaijuanga mi ni mnyama bed
Si hutoka siaka mzee wakule vumbi si hatufiki bei
Quality haishuki infact usikuje na ideas ka hautoi tukis
Drillting kuna sisi wazee alafu kuna hao marookies (Yoh)
Doobies si huwa hatutupi incase kuna ukame si huwa hatushtuki
Jiji nyuma ya hizo buildings dead amekuona akapata shughli
Mode alishuku akamuoket hadi backbench kunusa vidole
Si huwasha maforeign every morning tukiendaga colle
Nikiwa madrugs mi hukeep it Simple
Boy huwezi pata verse ka haujalipa depo
Pirate tulimtoka iPhone tukamwacha zero bila hata earphones
Avoid those people
Wenye hawakusaidii hawaezi kukujenga
Avoid those people
Juzi nilikula moro hadi sanse wakahepa
Avoid those people (Avoid them)
Cold Nairobi still naroweza
Avoid those people
Life ni bure survival lazima
Avoid those people
Wenye hawakusaidii hawaezi kukujenga
Avoid those people
Juzi nilikula moro hadi sanse wakahepa
Avoid those people (Avoid them)
Cold Nairobi still naroweza
Avoid those people
Life ni bure survival lazima
Ushaibiwa na lightskin ukapata extra pressure ju ni rende ni ronger
Mrazi aliingia box nimpone hio mali na vile nimekonda
Mtaani ni genje coplo na geri wana different slogan
Slim alibambwa na bail ilitoka na boy akatoka
Tuesday morning nishawasha kishada prr ndio Munga anapiga
Ashaniingisha orosho bag ni thao
Saf wanashindwa mbona sijafuliza
Mi na mastar ni hotbox
Msela alidhani ni Maybach kumbe ni Probox
Tunatingisha Barley na Chrome kiHunters
Eh si unajua hii ni formal
Rende niliskia kuna msee anatisha mmh
Ju wakati imempita
Lakini naskia masocialites mboka ikiisha
Survival ni lazima
Nilikula mali ya Njoro
Ju Njoro alipiga makali akazima
Nilimpiga kiswahili ya mtaa
Mb*ro ya Mmeru na sauti ya Alikiba
Bouti ni preacher God akibonga unajua utaskiza
Rende ni ronger Bouti ni AD familia shrap imefika
Bouti ni preacher God akibonga unajua utaskiza
Rende ni ronger Bouti ni AD familia shrap imefika
Eeh
Kwa majina ni Papa Fathela
Warazi wao hustuka niaje nilipenya
Nikikafunga leo nasepa
Ambia hao wasoro I'm going till December
Mi ni Miracle baby nasema mokoro wa mi alishika mimba kwa kesha
Kuna msela alijifanya seller
Tukashika stock yote akatinga the wera
Kuna shugli haitakangi mbogi
Bado kifo haibishagi hodi
Nilichokanga na window shopping
Siku hizi wanalipa niwavalie clothing
Ni kapyenga kananichoma lips
Huwezi roll na sisi ju ulitrip
We si gwangi buda we ni bitch
Compe ni compe na compe ni stiff
Ah!
Breakfast in bed na niko na sidechic
Rabuoni na stew ina curry
Henny nacop juu wikendi ni shwari
Shati Versace na imepigwa pasi
Tangu enzi za daycare
Nilikuwa natoka hawa watoi mabano
Walishindwa kunihandle ka sufuria moto
You know the boy been stubborn
Avoid mafala wamejaa
Ujinga ni ugonjwa wa kupona ni struggle
Nikipullup lazima utanotice
Mi huonekana kama Atwoli in purple
Na hii dunia ina mambo
Nikisota nakinda kidney ng'ambo
Niko na TK bado top 3 kama jezi ya Carlos
Mi huroll incognito, jicho nyanya mfuko nzito
Madigaga ah za mbao ju mi huwa na avoid some people
Unafaa kujichunga wadingo na ma cargo huwanga za imbo
Makarao watapiga na pingu
Na do biz na machinku
Nairoberry kudiambo kwa traffic tinga mawindow
Kula rada tafuna ritho ama utameza marithe
Promoter junkie mwenye show make sure amekudunga ka depo
Ati concert bila malipo ah ah na avoid hio risto
Unafaa ku avoid those people
Watakuekea mchele kwa disco
Watakuingia mbosho ukishachemsha unafungwa chipo
Yule boy huwa snitch
Naskia ye hundonyo info
Anajuana na mafiv-o ndio maana ye hutembeaga na pistol
Woh oh leo sitaki matembo
Niko maji kushinda Migingo
Itabidi nianze kudetox yaani kupunguza stingo
Waba imenifika shingo
Ndio kwa maana niko indoors
Natembea mtaa niki-tiptoe
Ssshh na avoid those people
Avoid those people
Wenye hawakusaidii hawaezi kukujenga
Avoid those people
Juzi nilikula moro hadi sanse wakahepa
Avoid those people (Avoid them)
Cold Nairobi still naroweza
Avoid those people
Life ni bure survival lazima
Avoid those people
Wenye hawakusaidii hawaezi kukujenga
Avoid those people
Juzi nilikula moro hadi sanse wakahepa
Avoid those people (Avoid them)
Cold Nairobi still naroweza
Avoid those people
Life ni bure survival lazima
Avoid those people
Vijana ka sisi your mama told you ukituona hutuavoid
Unachachisha na mamwiko
Maseska vidungi ziko kinena Udj hapa hakuna toy
Wikendi toja na olipo
Ketepa na njugu saa zile hakuna vurugu ni kujienjoy
Sinaga maneno na people
Elisha Elai toka kitambo ndiomaanake I'm a simple boy
Hizo vitisho zenyu mi siingizi
Niko 20 na unaninyima usingizi
Ni 4:20 kila siku huku withii
Bila senti huku haupiti zii
Hahahha...
Hapa ukicheza dondi pupupu
Nikipita wanageuka bubu
Ju mada hapa ni kama Elani kukuku
Way before kina Gidi already I was unbwogable
Itabidi mpunguze bonga mob
Ju mistari zenyu ziko terrible
Here we go
Extra pressure inazidi ju rende rong
Iko jiji inatesa tu kila zone
Hii riziki ya mziki itakuja call
Tunasaka money mpaka Senegal
Ka ni hater ni better uniavoid
Ju ni ngeta utakulwa ukipatwa boy
Wanateta tangu nianze leta voice
Ju nageuza marapper wakae watoi
Nakuja kijeshi, nikiroga wanadhani Vigetti
Tunasonga hakuna kusleki
Mi ndio thegi anasakwa Dando na Hessy
This time I tripple
Mi hufanya ukuwe cripple
Ka doggy nakuita na whistle
Avoid those people deng'a ndio weapon
People infact venye mi huleta vitisho
Ndani ya nganya mi hukuja kuwahanya
Mistari niliandika kama nimetoka hangdown
Venye rende ni rong mi hukam kuwashanda
Most definitely after this ni matanga
Routes ni za panya hakuna choche utanikosa
Salute ju namute hao madem ju ya mboka
Mi hutaka hio doh ka Omollo nai conquer
Si accept-igi loss main goal ni kuomoka
Tangu lini uskie queen ana-argue na mboch
Of course mi ni boss nakanyaga ka roach
Niliruka kwa mbaru nikadara huyo popo
Nikamuacha akicheza na lotion
Mbleina kwa sisi tunachomanga picha
Ka santa natokaga usiku saa sita
Usiku na lila ile ikilala italika
Last victim kwa crime nilimwacha akiwika
Ka mtoi kwa crip nilikeeper
Hadi mchombez nilimuacha akijipa
Nikamshow after this ni kulipa
Underdog mi nawasmoke ka fog
Ka bulldog nawamaster ka log
We ni analog nakuombea kwa synagogue
Then nakuweka kwa dustbin kuflog
We ni monologue, ningedai alone
Siwezi share throne mi ni ka hog
Ka lapdog nawatuma kwa choo
Then natokea kwa scene ka smog
Psssht
Man fuck those people
Mi ukinicheki avoid me
Nikiwaga riko na kibro ni kifo
Lakini alidedi I'll join him
Nina kilo kwa tiplo
Na ng'ango hatusleki we boiling
Mlishindaga Tiktok cheap talk
Na kila time tukikutana hambongi
Rong Rende ni vitimbi
Hater alionanga majogi
Huyu anakuwanga ni pimbi
Kwanza, kwanza nilimpora na dogi
Kile hunirudisha jiji
Ni kukula Nyama choma Nairobi
Mi nilipataga bibi kijana bado nakuona na mbogi, haha
Baba unabonga na mabudeng' hapa lazma banga atakuja na mabunde
Bangaiz na bangi ju hanaku rieng
Jaba ikuwe inadi na andasu kuberr
Hii ni wazea na mabudeng
Wakiuliza ni jea najibu maberr
Natoka wera narudi kwa wera
Ni nini masela mnataka niwapee
Hatuwezi fanana just look at us
Huyo mama ananiramba na ananuka jasho
Chini ya maji undercover nikivuta gas
Na sisi hatujatupa rada ni kukula vako
We piga pang'ang'a tunakuja kwako
Kesho utanipata nimedunga chuja zako
We si gangsta ati ju umefuga ras
Na nikifika lawama si wanajua ni Narcos




Wakadinali feat. Boutross, Breeder LW, Abbas Kubaff, Elisha Elai & Dyana Cods - Victims of Madness
Album Victims of Madness
date of release
28-11-2020



Attention! Feel free to leave feedback.