Lyrics Mauzauza - Khadija Kopa , Zuchu
Shunuaa
usijipe
mapana
Eti
mwili
kujitutumusha
Nitakutawanya
ka
bahari
na
fimbo
ya
Musa
Umejigeuza
Sudi
Sio
wa
Corora
wala
Vogi
Na
hilo
wowowo
la
kufoji
Eti
linakupa
kodii
Ohh
leo
unikome
mwenye
kiranga
(Mwenye
kiranga)
Hujanijua
vizuri
Hili
timbwili
la
vanga
(Mwenye
kiranga)
Ooh
leo
mbona
umeyabananga
(Mwenye
kiranga)
Mi
maskini
jeuri
Sitegemei
madanga
(Mwenye
kiranga)
Mauzauza
we
mwana
mauzauza
Si
wamekushindwa
kwenu
Walimwengu
tutakufunza
Mauzauza
we
mwana
mauzauza
Si
wamekushidwa
kwenu
Walimwengu
tutakufunza
(Unaninii
kichwa
cha
chikichi)
(Umevaa
kinu
unatwangia
mchi)
Mwali
kigego
mwenye
nyota
ya
mitaala
Hivi
kungwi
wako
nani
wewe?
(Atajijuaaa)
Uso
mitego
imedoda
biashara
Hueleweki
si
kunguru
si
mwewe
Wadala
ubaki
dala
Mwenzio
mimi
kibunda
Haufai
kwa
kafara
Si
mbuzi
wewe
ni
punda
Umejivisha
ubazazi
Kwa
mapana
na
marefu
Uso
na
kazi
Si
wa
ndala
wala
peku
Ooh
ooh
Ondo
ondo
mlezi
wa
wana
We
budege
zoa
zoa
Mwali
pengo
binti
mwanya
Chuchunge
kwa
kudonyoa
Ooh
leo
unikome
mwenye
kiranga
(Mwenye
kiranga)
Hujanijua
vizuri
hili
timbwili
la
vanga
(Mwenye
kiranga)
Ohh
leo
mbona
umeyabananga
(Mwenye
kiranga)
Me
maskini
jeuri,
sitegemei
madanga
(Mwenye
kiranga)
Mauzauza
we
mwana
mauzauza
Si
wamekushindwa
kwenu
Walimwengu
tutakufunza
Mauzauza
we
mwana
mauzauza
Si
wamekushidwa
kwenu
Walimwengu
tutakufunza
Hutayaweza
yangu
yako
yanakushinda
Hutayaweza
yangu
yako
yanakushinda
Hutayaweza
yangu
yako
yanakushinda
Hutayaweza
yangu
yako
yanakushinda
Hutayaweza
yangu
yako
yanakushinda
Hutayaweza
yangu
yako
yanakushinda
Attention! Feel free to leave feedback.