Zuchu - Hakuna Kulala Lyrics

Lyrics Hakuna Kulala - Zuchu



La la la la lala
La laa
Mhhh
Namvuta faraghani tumo tubu tubu ndani
Namtazama simwishi namkanda mabavuni
Kayainua majeshi pita nichague mimi
Aanze Bangladesh amalizie Sudan
Twanozana hatosheki kaniweka kifuani
Hatingishiki haruki yuhoi watwaa'bani
Nampa na vyakurithi na mizungu ya kigeni
Hakuna kulala, hakuna kulala
Hakuna kulala, asubuhi itukute
Hakuna kulala, hakuna kulala
Hakuna kulala, na machweo yatukute
Mmh siwezi kuficha hisia
Maradhi yataniumbua
Ni zimwi linalonijua, kanila kanimalizia
Mbora katimiliki, kwa pasi za race race
Hapitagi njia fupi, shortcut ye zanini
Nampa na vyakurithi na mizungu ya kigeni
Hakuna kulala, hakuna kulala
Hakuna kulala, asubui itukute
Hakuna kulala Hakuna kulala
Hakuna kulala, na machweo yatukute
(Ladha yako, ladha yako)
(Ladha yako ni tamu nitamu sana)



Writer(s): Zuhura Soud


Zuchu - I Am Zuchu
Album I Am Zuchu
date of release
15-04-2020




Attention! Feel free to leave feedback.