Lyrics Kwaru - Zuchu
Ayo
Laizer
Aaaaaaahhh
Aaaooaaah
aah
Roho
ingekua
na
macho
ingejionea
Moyo
haufanyi
kificho
ukiotea
Mimi
kipi
nisonacho
ungeongea
Mwili
wangu
rojorojo
nanyong'onyea
aah
Chungu
nilichopika
wamepakua
wenzangu
Huruma
napukutishwa
wamechukua
donge
langu
Na
kitabu
changu
cha
mapenzi
ukurasa
umechana-chana
Hazisomeki
tena
tenzi
zimepoteza
maana
Mpofu
moyo
wangu
Ulishindwa
oonaa
Hukuandikwa
wa
kwangu
Limenikaba
nalitemaa
Kwaru
kwa
kwaru
kwaru
Kachukua
kisoda
anaukwaruaa
aah
Kwaru
kwa
kwaru
kwaru
Moyo
wangu
unaumia
aah
Kwaru
kwa
kwaru
kwaru
Ye
kwa
nguvu
ana
ukwaruaa
Kwaru
kwa
kwaru
kwaru
Jamani
moyo
wangu
unaumia
aah
Langu
tatizo
na
chunda
najimaliza
Mi
nakesha
kumuwaza
Na
weweseka
lake
jina
oooh
jina
Basi
kwa
unyonge
najikaza
niache
kulia
Maana
kwake
bahati
sina
(oooh
sina)
Maumivu
ameipora
furaha
yangu
(uuh)
Amekwenda
nayoo
na
Zangu
mbivu
zimeniozea
hasara
kwangu
(oooh)
Yatapita
hayo
Mpofu
moyo
wangu
ulishindwa
ona
Hukuandikwa
wa
kwangu
Limenikaba
nalitemaa
Kwaru
kwa
kwaru
kwaru
Kachukua
kisoda
anaukwarua
aaah
Kwaru
kwa
kwaru
kwaru
Moyo
wangu
unaumia
Kwaru
kwa
kwaru
kwaru
Aah
ye
kwa
nguvuuu
anaukwarua
Kwaru
kwa
kwaru
kwaru
Jamaniii
moyo
wangu
unaumia
Wasafii
Attention! Feel free to leave feedback.