Lyrics Raha - Zuchu
Mmmh
Lalala
mmh
Lalala
(Ayo
Laizer)
mmh
Lalala
mmh
(Nusder)
Yaani
kwa
sauti,
kasema
deka
deka
Na
mimi
najiachia
Kanipa
shuruti
la
kumteka,
teka
Silaha
kanigawia
Mbezi
kimara,
hunipeleka
peleka
Mpaka
mwisho
hashuki,
hashuki
Kiungo
imara
hunipenyeka
penyeka
Kwa
ya
nguvu
mashuti,
mashuti
Aaahhh
Kaniweka
darasani
Kunifundisha
vizuri
Mengi
hayajulikani
Yataka
kuyakariri
Kanichorea
ramani
Kopa
lenye
nyingi
siri
Nyekundu
nje
na
ndani
Rangi
yake
zingifurii
Raha,
kupendwa
raha
(Mmhh
kupendwa
raha)
Raha,
jamani
raha
(naona
raha)
Raha,
kupendwa
raha
(Kupendwa
raha)
Raha,
jamani
raha
Eti
niende
msituni,
zaralinge
na
mate
pwi
nikamroge
Abadan,
oooh
abadan
Penzi
lichanje
mizaituni,
kwaviringe
na
kuzikiri
linoge
Oooh
Abadan,
oooh
abadan
Mmmmh
Vineno
vya
kisirani
Kafumwa
na
mwafulani
Mweupe
mara
kijani
Linawahusu
nini?
Vipimo
viso
mizani
Kutwa
kwenu
midomoni
Timewakaa
vichwani
Mtumezee
kwinini
Oooooh
Ndege
ya
asili
ya
buga
Kufugwa
hawezekani
Mithili
akivuruga
Akaumbiwa
kutamani
Atenda
tafuta
boga
Japo
tama
libandani
Enda
tenzi
sina
woga
Atarejea
ngamani
Raha,
kupendwa
raha
(Kupendwa
raha)
Raha,
jamani
raha
(naona
raha)
Raha,
kupendwa
raha
(Oooh
kupendwa
raha)
Raha,
jamani
raha
Ah
ah
Waaasaaafiiii
Attention! Feel free to leave feedback.