Текст песни Fallen Angel - Dizasta Vina
Yoh
Wanasema
nilipenda
bila
tija
Kwamba
sikutaka
kujifunza
sikutaka
tiba
Nilikupenda
na
mtaani
ilikuwa
shida
Nilikosana
na
watu
maana
nilikutaja
kila
mida
Niligombana
na
wana
uliposema
nipunguze
marafiki
Ulihisi
wengi
wao
wanafiki
Ukasema
niache
muziki
Nikaacha
nikatafuta
kazi
ilimradi
nipambane
na
dhiki
Nikaona
shega
Kama
kuna
boya
yeyote
atanilaumu,
yamkini
bado
hajapenda
Niliitika
uliponita
Nilifika
nikakusikiliza
na
kila
uliponituma
nilikwenda
Kama
kupenda
ilikuwa
ajabu
Nadhani
hata
ile
kukonda
ilikuwa
sababu
Ilikuwa
kufanya
maamuzi
si
jasiri
Ila
kwa
sababu
yako
wala
sikujiuliza
mara
mbili
Kisa
wewe,
nikabuni
kila
mishe
Nikapigana
mpaka
na
kikundi
ili
nikuridhishe
Nilikuwa
mwoga
nielewe
Ila
nilijipa
moyo
kuwa
chochote
kinawezekana
kisa
wewe
Niliamua
nikupende
bila
doubt
Nilisimama
kila
nilipoulizwa
nika-shout
Sikuogopa
ugonjwa
wala
mauti
Kwa
sababu
yako,
nikakamatwa
boda
kule
Sauzi
Nikukumbushe,
shule
nilikuwa
King
kwenye
dorm
fights
Ila
nikapigwa
na
jamaa
kwenye
prom
fight
Mahusiano
yetu
yalini-cost
Kuna
kipindi
nilikosa
dili
nikazama
mgodi
Naumwa
mama,
hizi
shida
zipo
Mama
yako
alipata
ajali,
nikatoa
figo
Nilikuwa
nina
mafua
nakakuhitaji
kama
chafya
ili
nitoe
Nilikupenda
mpaka
ukanigharimu
afya
Ulijua
kuwa
ninapenda
Hip
Hop
lakini
ikabidi
nijue
reggae
Sikuwa
tozi
lakini
nikajua
chepe
Nikazijua
tembe
kichwa
kilipokuuma
Nikazama
kutafuta
ni
mapenzi
na
sikuwa
bwege
Nilijitosa
kuwa
usafiri,
nikufikishe
Niliamua
kuwa
hata
mwizi,
nikuridhishe
Kaka
zako
walipanga
dili
ili
waniue
Wakaishia
kuniumiza
nikakanda
mwili
Nilikupenda
peke
yako,
sikujua
mingo
Kuna
kipindi
uliniweka
kwenye
matatizo
Kwenye
vikoba
ulikopa
hela
Mpaka
nikakamatwa
mimi
nikafungwa
jela
mwaka
Sikusoma,
na
sio
kwamba
nilitaka
kufa
na
mali
Ni
kwamba
sikutaka
uteseke
ndio
maana
nikakupa
nyumba
na
gari
Dili
zikabuma
na
tarehe
za
kulipa
zikatimia
Wadeni
walipokuja,
nilikimbia
Nilipambana
sana
bado
nikakosa
dili
Nikasafiri
nikaenda
kwa
mganga
ili
niwe
tajiri
Sikupenda
mwenzangu
ufuturu
njugu
Nikavuka
ukuta
mpaka
nikaanza
kumkufuru
Mungu
Ndugu
walinikimbia,
nakili
Nadhani
walihisi
zimenikimbia
akili
Walidhani
ilikuwa
simple
kuniasa
Walifikia
kusema
nakupenda
wewe
kuliko
mother
Dah!
Nikavunja
miiko
Mpaka
nikabadili
dini
nikawa
Mkristo
Nilihadaa
kufa,
tulikosa
mboga
nikagaa
gaa
na
upwa
Ulipenda
kupendeza
Kugeza
mitindo
ulipenda
kuongea
kiingereza
Nikakulipia
shule,
ulifanya
madudu
Nikakubali
ili
usome
mimi
nibaki
mbumbumbu
Nilipigana
kila
shari
ilipokuja
Nilizuga
mi
ni
mwalimu
kwa
baba'ako
Nilifulia
wakaniita
McMugga,
na
mtaani
nikawa
adimu
kwa
ajili
yako
Nilitaka
uwe
mke,
ni
habari
Nilitamani
nikupeleke
nje
ya
sayari
Kuna
muda
nilisanda
nikazama
kila
chaka,
sikuogopa
Nge
ni
hatari
Kwa
yangu
hiyari
nikawa
pusha
Nilijifanya
dalali
nikauza
gari
na
nyumba
Mentali,
sikungoja
zali
kunikuta
Mali
ulipofuja
zote
nikaenda
mbali
kutafuta
Ulitamani
rasta,
nikasuka
Ulitamani
shamba
na
duka
Ulitamani
khanga
nikakupa
Sikuogopa
nilikudaka
ulipoanguka
Washikaji
walisema
naoa
lawama
Nilifunga
vioo
tukafunga
ndoa
ya
gharama
Kazini
nikabeba
pesa
kwakuwa
nilikuwa
cashier
Nikakata
tiketi
twende
honeymoon
Philadelphia
Sikukwambia
haya
yote
tangu
mwanzo
Kwa
kuwa
sikupenda
uteseke
kwa
mawazo
Nilikulea
ka
baba'ako,
sio
mimi
yalikuwa
ni
mapenzi
juu
yako
Nilishiriki
magendo,
mpaka
kuua
Nilitaka
kuwa
mjeda
nikashiriki
depo
Nilitamani
kukuoa
Kiukweli
ndio
maana
muda
wote
huo
hatukushiriki
tendo
Sikuibuka
kilingeni
Nikafunga
decoder
na
subwoofer
sebuleni
Kuna
kipindi
nilikumbwa
na
madeni
ili
upate
saluni
Nikajenga
nyumba
ufukweni
Nitapunguza
vipi
machungu?
Nilikosa
nini
kwa
Mungu
Umekufa
sikuoni
tena
getoni
Umeniacha,
Mola
akulaze
pema
peponi
Amen
1 The Lost One
2 Kikaoni
3 Nobody Is Safe 3
4 Nobody Is Safe 2
5 Hatia
6 Hatia II
7 Hatia III
8 Kanisa
9 Fallen Angel
10 Siku Mbaya
11 Tega Sikio
12 Maswali
13 Sister
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.