Текст песни The Lost One - Dizasta Vina
Alivaa
sketi
inayoangaza
ilikuwa
nyepesi
Fupi
unaweza
dhani
ni
kidenti
Japo
nilikuwa
single
ila
sikuwa
mingle
Alizidisha
maringo
alipogundua
namcheki
Haiba
ya
aibu
mfumo
wa
kibinti
Kidogo
rangi
na
lile
umbo
la
kimisi
Akiweka
pozi
nihakiki
Alikuwa
anang'aa
ila
ngozi
yake
ilisanifu
dhiki
Bado
ilikuwa
hainiboi
kumtazama
Macho
yangu
yalikuwa
yana-enjoy
alichofanya
Kiasili
nilikuwa
hoi
kiasi
cha
kutogundua
alikuwa
na
konvoi
la
mimama
Kwa
mtindo
wa
kujongea
kwa
madaha
Yule
malaika
akaanza
kusogea
nilipokaa
Hata
kabla
sijaamua
kumchunguza
Macho
yaligundua
kuwa
binti
anajiuza
Hiyo
iliweka
ufa
moyoni
Nilitamani
hata
kustuka
ndotoni
Kwakuwa
nilipata
hisia
kali
za
upendo
Nikawa
tayari
hata
kujitupa
motoni
Nilitekwa
i
only
needed
her
for
the
rescue
That's
how
far
love
can
take
you
Nikataka
mpaka
kumvika
pete
Awe
mchumba
nikasahau
mwenzangu
anawaza
cash
tu
Ni
aina
ya
wasichana
wanaotokea
kwenye
ndoto
Yaani
unafumba
macho
alafu
unaona
anakulelea
watoto
Kwa
mara
ya
kwanza
maishani
mwangu
niliwaza
ndoa
Hasa
baada
ya
mapenzi
ya
wasichana
wa
town
kuniboa
Akiongozana
na
kundi
la
wenzake
Akasogea
akitoa
sauti
za
kipambe
Kila
mmoja
akijinadi
kwa
mikogo
ya
mahaba
Nakumbuka
mmoja
alivua
brauzi
nimtomase
Alijinadi
kama
ng'ombe
mnadani
Nikataka
nijitose
chakani
Yaani
nijitoe
sadaka
nilimwona
kama
kidani
cha
dhahabu
Maisha
ya
mjini
yalifanya
ajione
hana
thamani
Tukagonganisha
macho
kihisia
Ndio
nikajua
nimezama
na
sijui
nitakapoishia
Apendae
kipofu
nikazisahau
kasoro
Nikashuka
nikamfungulia
mlango
akaingia
Kwa
pupa
nikadrive
mpaka
home
Nilipofika
hata
kuzima
gari
sikukumbuka
Kuna
muda
nilimkuta
uchi
kitandani
Anauliza
kama
tunaenda
kavu
au
kwa
ndom
Nikamsihi
avae
nguo
Akahamaki
akauliza
maswali
mawili
kwa
mkupuo
Jogoo
hawiki
braza
au
ume-mix
machaguo
Nikamjibu
mi
msafiri
na
wewe
binti
ndio
kituo
Kwa
jicho
la
kufuga
kisasi
Akanicheki
kiasi
kwamba
niliyumba
kinafsi
Akanikumbusha
hajaja
kwangu
kutafuta
hifadhi
Anafanya
biashara
na
kwangu
amekuja
kikazi
Nikashika
usemi
uchafu
ukiingia
kwenye
kapu
toa
Usitupe
kapu
kwahiyo
sikumwona
kama
changudoa
Nikamwambia
nikimwangalia
Kwanza
nawaza
kujenga
pili
familia
na
tatu
ndoa
Hakuitikia
akanitenga
na
himaya
ya
majibu
Moyo
wake
haufunguki
na
ninahitaji
rai
Hatukuwa
sawa
nilitaka
kujaribu
Akanijibu
Kipepeo
na
nyuki
hawatagi
yai
Akaniruhusu
kumkumbatia
Akashika
mikono
yangu
akaibusu
kwa
hisia
Sijui
alinipa
nini
nilijikuta
naanguka
Kizunguzungu
ile
kustuka
kumekucha
Niliamka
na
mawenge
kichwani
Nilighafirika
kugundua
hakwepo
chumbani
Aliondoka
aliniacha
na
aibu
mtaani
Maana
aliposepa
alibeba
kila
kitu
ndani
Alikuwa
kunguru
na
nilisahau
hafugiki
Hata
iwe
kibudu
kwa
nyanya
na
limao
haungiki
Alibeba
vipi
sijui
kinachoniuma
Ni
kukosa
pendo
la
huyu
binti
Sitasahau
macho
yake
mawili
ya
kirembo
Sauti
iliyowasilisha
upendo
Akipigwa
vikali
na
ubatili
wa
matendo
Ya
mwili
wake
mzuri
ambao
haustahili
mateso
Aliniachia
meseji
alipoondoka
Akinipa
pongezi
kwamba
sikuwa
mwoga
Kuufuata
moyo
wangu
akaniomba
msamaha
Akisema
hawezi
kuenzi
penzi
ambalo
kwa
wazazi
alikosa
Sawa
ah!
Nimekusamehe
zamani
mami
Pendo
lako
dawa
ewe
baniani
Niahidi
utawasamehe
wazazi
wako
pia
Ambao
wamefanya
uonekane
shetani
honey
I'm
kinda
lost
I
do
things
i
ain't
suppose
to
I
thought
you'll
be
my
best
friend
that
I
can
talk
to
I
wanna
change
if
you
wanna
change
I'll
support
you
I
think
we
both
need
the
way
out
that
we
can
walk
through
Ah
popote
ulipo
ambapo
info
inafika
Bado
mrume
nipo
miaka
inapita
nauandika
Huu
wimbo
umenifundisha
nisitue
mzigo
kama
ninahisi
sijafika
Naoa
kesho
na
nina
hamu
kukukuta
Nikwambie
dunia
safi
binadamu
ndio
uchafuka
Ni
kawaida
usisahau
kutabasamu
kukikucha
Nakuombea
afya
kwenye
nyama
damu
na
mifupa
1 The Lost One
2 Kikaoni
3 Nobody Is Safe 3
4 Nobody Is Safe 2
5 Hatia
6 Hatia II
7 Hatia III
8 Kanisa
9 Fallen Angel
10 Siku Mbaya
11 Tega Sikio
12 Maswali
13 Sister
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.