Текст песни Siku Mbaya - Dizasta Vina
Nakurupuka
kitandani
baada
ya
ndoto
za
kutisha
Moyo
unadunda
sana
na
jasho
linanitiririka
Macho
nafikicha,
taswira,
naona
kiza
Kwa
muda
nasizi
kimya
na
dakika
zinapita
Zikijirudia
ndoto
hatari
naona
woga
Nakosa
hoja
napotafakari
nilichoota
Namwamsha
wife
aniwekee
maji
ya
kuoga
Ananijibu
anahisi
homa
na
mwili
mzima
umechoka
Nampa
pole,
Staki
kuanzisha
zogo
wala
nini
Maana
hata
sura
inaonesha
ana
kinyongo
na
mimi
Ni
muda
sasa
napokua
nae
hajiamini
Nacheki
saa
nagundua
nimechelewa
kazini
Napiga
zangu
maji
mwilini
And
just
for
the
record,
Mimi
ndo
mtunza
funguo
za
ofisini
Nakuta
wafanyakazi
na
bosi
wapo
getini
Kwa
ghadhabu
kila
mmoja
akinitazama
mimi
Kabla
sijameza
mate
wala
sijabuni
sala
Naambiwa
walikuja
wazabuni
kwa
biashara
Na
kwakua
nilichelewa
kufungua
ofisi
Mchongo
ukafa,
nimeingizia
kampuni
hasara
Baada
ya
masaa
kibao
ya
kufikiri
Ofisi
ikaweka
kikao
kunijadili
Waliniona
driver
nimeangusha
basi
Wakafikia
mwafaka
wakunifukuza
kazi
Nikatahamaki,
sikujua
lakufanya
Pale
kwenye
kamati
hakuna
wa
kumtazama
Nikahisi
ni
mipango
ya
kikuda
imefanywa
Sio
gari
tu,
maana
hata
nyumba
nilinyang'anywa
Nikajiuliza
huruma
imekwenda
wapi?
Kila
mtu
alijua
kua
nilipenda
kazi
Niliheshimu
kama
navyoheshimu
ndoa
ama
mzazi
Ama
muumba,
leo
nimepata
doa
kwenye
shati
Acha
familia,
vipi
deni
la
ofisi
Wamenipa
mwezi,
nikifeli
watanifilisi
Mtoto
shule,
pia
bunju
nina
shamba
la
kukopa
Sijalipa
na
kijiji
nina
ndugu
wa
kutosha
Nguvu
zilimalizika,
nikatoka
kwa
adabu
Licha
ya
ghadhabu
kunishika
Nikajipa
moyo
kua
nna
mikono
pia
na
miguu
Vyote
vyangu
sina
sababu
ya
kushindwa
Nilikosa
wa
kunishika
wa
kumweleza
Mshahara
ulikua
mdogo
nilishindwa
kuwekeza
Nikapiga
moyo
konde
mimi
mwanaume
nita-fight
Nikpanda
gari
nikampe
taarifa
wife
Nikiwa
ndani
ya
dimbwi
la
mawazo
Nikitafakari
hivi
vitimbi
na
vikwazo
Mbele
yangu
akakatiza
mpita
njia
Kwakua
sikua
makini
na
gari
nikamvamia
Dakika
mbili,
wananchi
wakalizunguka
gari
Wakinishutumu
sana
sababu
ya
mwendo
mkali
Nikaitikia
wito
nikitegemea
thawabu
Nikampeleka
mgonjwa
na
akaanza
matibabu
Narudi
zangu
home,
misemo
ya
kishenzi
nikitema
Chumbani
nasikia
mihemo
ya
mapenzi
Bila
hodi,
mlango
nikaufungua
kwa
ghadhabu
Nikamkuta
house-boy
juu
ya
kifua
cha
mke
wangu!
Nikabaki
kama
zuzu
Yule
wa
kunifariji
ndio
ameniletea
uchungu
Nilitaka
nilianzishe
sikua
na
nguvu
Huku
nafsi
inanishauri
kwamba
nimwachie
Mungu
Swalini
kwamba
sina
moyo
mkunjufu?
Au
kwakua
muda
sijaenda
kuabudu?
Au
tuseme
mja
nina
gundu?
Au
kwakua
nilijenga
nyumba
na
sikuwajulisha
ndugu?
Sijaona
faida
ya
pato
langu
Wazazi
walikufa
bila
kula
jasho
langu
Mawazo
kwenye
kichwa
yamezidi
Dunia
ina
watu
wengi
na
sioni
wa
kunifariji
Naitazama
ardhi,
naitazama
mbingu
Sioni
nuru
nachoona
ni
maumivu
Maswali
mengi,
bila
majibu
Ila
Swali
kubwa
ni
vipi
mimi
nitaimaliza
siku?
Jua
linazama
bado
sijiamini
Naona
nadondoka
ila
sioni
nikifika
chini
Saa
tano
na
dakika
hamsini
Bado
dakika
kumi
siku
iishe
na
sijui
kinafata
nini
Oh
my
God
1 The Lost One
2 Kikaoni
3 Nobody Is Safe 3
4 Nobody Is Safe 2
5 Hatia
6 Hatia II
7 Hatia III
8 Kanisa
9 Fallen Angel
10 Siku Mbaya
11 Tega Sikio
12 Maswali
13 Sister
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.