Текст песни Hatia II - Dizasta Vina
Ah!
Nilipaa
sasa
natua
Kwenye,
kwenye
Siri
ya
moyo
Na
siri
ya
moyo
Anayeijua
mwenye
Mwenye
ujasiri
wa
Kutunza
nafanya
Ninachodhani
ni
Sahihi
kitachotokea
Nitajua
mbele
Wanasema
mwanaharamu
Haijui
laana,
kashalaanika
Nasikitika
kuwa
haujui
Kama
naonekana
ka'
Kondoo
kwa
mchungaji
Lakini...
lakini
kwa
ndani
Mi'
ni
chui
mama
Kwa
mfano
nakuita
mpenzi
Na
tabasamu
zuri
wakati
Najua
kuwa
sikupendi
Kuitoa
hii
siri
ndo'
siwezi
Kwahiyo
nitakudanganya
Mpaka
ifike
siku
niutimize
Ushenzi
Huwa
nawaza
nikuweke
Ufahamu,mtambue
Kuwa
mpo
wengi
Na
lengo
niwateke
Ili
mpeleke
salamu
Masikini
mrembo
Nashangaa
jinsi
unavo'ngoja
Pete
kwa
hamu
Vile
hunioni
kwenye
Makundi
ya
baa
Na
bahati
nzuri
haujawahi
Kusikia
nikizushiwa
uzushi
Kumbe
unampigia
mbuzi
gitaa
Sometimes
unanisongea
nguna
Au
wali
ukidhani
mi'
najali
ilihali
Sina
habari,
sina
hisia
siwazi
Hata
kukuonea
huruma
Na
sibadili
dhambi
hata
Mbingu
ikisogea
nyuma
Ah!
Nashiriki
nawe
nyakati
Twitter
mpaka
instagram
Picha
unani-hashtag
drunk
in
love
Nanunua
brand
za
gharama
za
Simu
ya
ghali
breakfast
Zanzibar
Haimaanishi
kuwa
Tunaianza
safari
Nataka
nikuandalie
maumivu
Ili
kila
unachokiona
Kiwe
kinafanya
unikumbuke
Ni
hatari
Inaitwa
zuia
nanga
kabla
Bado
haijang'oa
Maana
haujaheshimu
Mvua
kama
bado
hujaloa
Kwa
huu
mchango
ninaotoa
Ndo'
unafanya
unazama
Zaidi
kiasi
unaiwaza
mipango
Ya
ndoa
Jicho
la
tatu
hauna
Fungua
jicho
lako
la
pili
Utagundua
kila
ninachofanya
Ndo'
maana
haujaona
bado
Wala
haupo
kwenye
Mpango
wa
pili
Ah!!
Unaniletea
zawadi
toka
Nilishawaacha
Na
walinichora
tattoo
Mi
sio
tunda
mama
Mama
mi'
kidonda
Utachelewa
kusonga
Ka'
bado
unaingoja
nafuu
Sherehe
ya
birthday
yako
Kwenye
'temple'
ya
anasa
Umekuwa
'mental'
kwa
Huu
mwendo
ndo'
Umenasa
Kiasi
unahisi
huu
ni
upendo
Tukishiriki
tendo
tu
nakuacha
Kichwa
changu
hichi,
kichwa
Nitalala
na
wewe
na
Wewe
na
haifiki
jumapili
Nitakuwa
nimeshakuacha
Ah!
utanitafuta
Kwenye
simu
ambayo
Namba
nitakuwa
nishaibadili
Utanitafuta
mara
mbili
Mara
tatu
kisha
nne
Utagundua
kurudi
Itang'ata
moyo
wako
Watu
maumivu
Hukujiandaa
kuyakabili
Utanipamba
majina
ya
Nitakuwa
mbali
nishasafiri
Nishasahau
utatunga
nahau
Wakati
haukuwahi
kuutabiri
Ila
upo
Utaumia
utashindwa
kusimulia
Utaniulizia
kwa
wanaonijua
Hauna
tena
chako
Okota
vipande
vya
moyo
wako
Nenda
zako
kaandike
Tanzia
Kisha
watajua
wenzio
Wanafiki
watacheka
Wanaokujali
wataangua
kilio
Watakusindikiza
kulia
Watakupa
pole
wengine
watasema
Wanaume
wote
mbwa
Taswira
itazongwa
Na
wingu
Picha
utazichoma
Kwa
kisu
Utanitukana
mara
mwana
Haramu
mara
malaya
Rafiki
zako
wakuu
watakuwa
Filamu
na
riwaya
Wimbo
niliokuimbia
Kamwe
hautokukonga
Utachoma
mkuki
moyoni
Kisha
kunyonga
Utaendelea
kungoja
Utagundua
mvumilivu
Hali
mbivu
hiyo
Methali
iliongopa
Utagundua
ilikuwa
Ni
soga
Hii
itafanya
ukonde
Na
kuanza
Kutumia
pombe
na
ganja
Nayajua
haya
yote
Kwa
maana
ndo
nilikotoka
Utasimama
kijasiri
Na
mwisho
utadondoka
'Sikiliza'
Wataleta
daktari
Akuulize
nini
shida
Hawatapata
Jawabu
kabisa
Wataleta
sheikh
Wataleta
mchungaji
Wa
kanisa
Watasahau
kwamba
Moyo
uliovunjika
Hauna
tiba
Natamani
nikuambie
kuwa
nimekuteka
makusudi
Maana
unasikia
na
hujifunzi
Nikuumize
kama
mke
wangu
mpuuzi
Aliyekimbia
na
rafiki
yangu
siku
moja
baada
ya
harusi
Nilishaambiwa
na
Mama
nikapuuzia
Kuwa
haujawahi
Kupenda
kama
Haujawahi
kulia
Kuna
muda
mtu
mbaya
Hutengwa
na
hatia
Maana
kafiri
hazaliwi
Utengenezwa
na
dunia
Ukijiua
sitakuona
Mzembe
amini
Nitakuvalisha
pete
Ruksa
uipeleke
baharini
Najua
tiba
ya
Upweke
amini
Mwisho
wako
ni
Kuwa
kicheche
kama
Mimi
Hapo
utajua
kunihukumu
Sio
haki
Mwanamke
kama
Wewe
ndio
amenifanya
Niwe
muasi
Bila
hofu
wala
Kiwewe
Nitaendelea
kuzunguka
Kutafuta
wasichana
Vipofu
kama
wewe
Sina
hatia
1 The Lost One
2 Kikaoni
3 Nobody Is Safe 3
4 Nobody Is Safe 2
5 Hatia
6 Hatia II
7 Hatia III
8 Kanisa
9 Fallen Angel
10 Siku Mbaya
11 Tega Sikio
12 Maswali
13 Sister
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.