Текст песни Hatia - Dizasta Vina
Ah!
Sikuwa
na
zali
sikuziamini
ndumba
Sikuwa
na
mali
za
kufuja
Nilijitahidi
kuuza
mitumba
kufuga
mipunga
Ili
siku
nimpe
gari
nimpe
nyumba.
Nilishindwa...
Niliishia
kumpa
chai,
'chipsi'
mayai
na
'vocha'
Nywele
za
kimasai
na
mkoba
Pesa
za
magauni,
majuba
na
viatu
vya
kuzuga
Nilimpa
muda
ila
bado
haikutosha,
kwani...
Nilipomwambia
nampenda
hakujibu
Akaweka
moyo
wangu
maumivu
Na
mtima
wangu
akauweka
'solemba'
Nikaapia
kuwa
sitakuja
kupenda
'forever'
Ah!
Nilimpa
upendo
nilimpa
sifa
Niliweka
mitego
ya
faida,
haikuwa
shwari
Nikabadili
mwenendo
wa
maisha
Niliweka
malengo
sikutimiza,
hakunikubali
Alikuwa
na
ndoto
kubwa
kushinda
mimi
Alikuwa
na
misimamo
kuipita
dini
Aliniambia
ameomba
nije
kuokota
utajiri
Amengoja
sana
na
sasa
amechoka
kusubiri
Ah!
Sikuwa
na
hali
ya
kuikosha
roho
yake
Nilimwacha
aende
aufate
moyo
wake
Alipata
bwana
wa
kizungu
magharibi
Alimwahidi
kuishi
maisha
ya
ndoto
zake
Nilipata
uchungu
niliishia
kuhamaki
nilitaka
nijiue
Nilitaka
nimzuie
abaki
nikakumbuka
Ukipenda
ua
haulikati
unaliacha
likue
Duka
langu
nilifunga
biashara
niliacha
zote
Uchumi
uliyumba
kwa
maana
nilianza
pombe
Niliumwa
bado
kidogo
moyo
uzime
Nilimfanya
ndoto
kumbe
naye
ana
ndoto
nyingine
Alisema
anakwenda
jiji
la
Miami
Hakuna
alichowaza
zaidi
ya
kuishi
kifahari
Kamtumia
picha
na
'mchizi'
kazikubali
Na
yupo
tayari
kumlipia
gharama
za
safari
Aliondoka
na
kipande
kimoja
cha
mwili
Nilikonda
nilipata
ugonjwa
wa
akili
Haikuwahi
kupita
hata
sekunde
nisilie
Nilitamani
mpaka
ardhi
ipasuke
niingie
Ah!
Muda
ukaenda
nitapata
'Mwanamwali'
Nikamwomba
awe
mwenza
wa
maisha
akakubali
Nikamvisha
pete
nikalipia
mahari
Sikumpenda
lakini
nilijifunza
kumjali
Aliuliza
kama
nampenda,
nilimjibu
Sikutaka
kuweka
moyo
wake
maumivu
Sikutaka
kuuweka
Mtima
wake
solemba
Kiasi
aseme
hatakuja
kupenda
"forever"
Ah
alinikumbatia
nikamfunga
kwa
ishara
Akanikabidhi
tunda
nikala
Akaniamini
tukajuana
nikapanga
kumwoa
Akaidhisha
na
tukaanza
na
mipango
ya
ndoa
"Habari
naamini
u
bukheri
wa
afya
Unaendeleaje
maisha
na
huyo
mpenzi
wa
sasa
.Nashukuru
nahema
ughaibuni
si
kwema
Nakiona
cha
mtema
mpaka
naona
ni
heri
nikafa...
Ah!
Maisha
niliyowaza
yote
ni
uongo
Nauzishwa
madawa
nalazimishwa
ngono
Nafungiwa
ndani
kama
mtumwa
ufungwani
Roho
yangu
rehani
kiasi
sasa
naitamani
Bongo
Ukubwa
umekuja
kunisafisha
jicho
Ndoto
imeisha
na
taswira
imenionyesha
sivyo,
ah
Naomba
unifate
uniondoshe
kwenye
hichi
kifo
Na
hii
namba
ya
msamaria
atakueleza
nilipo"
Sherehe
ilikuwa
na
mipango
madhubuti
Kabla
mimi
kuichukua
michango
ya
Harusi
Nikatoroka
ughaibuni
kufuata
hisia
zangu
Kwenda
kumfata
njiwa
wangu
mahususi
Nilivuka
majangwa
na
majabali
Sehemu
ya
safari
anga
sehemu
nyingine
bahari
Niliacha
kila
kitu
nyuma
upendo
na
huruma
vilinijaa
Penzi
likanipeleka
mbali
Nikakutana
na
bopa
la
kizungu
Lenye
sura
ya
kuichachisha
mboga
kwenye
chungu
Kiko
kwenye
mdomo,Tatuu
kila
kona
na
wapambe
Pamoja
na
vishoka
wenye
mtutu
Sio
siri
alizungukwa
na
wasichana
wengi
Sikujua
umri
walikuwa
wadogo
ka'
"madent"
Baadhi
walikuwa
uchi
wanahesabia
"chenchi"
Wengine
masaji
huku
wengine
wanamchezea
nyeti
Hata
nilipomuuliza
kama
ananipenda
hakujibu
Akaweka
moyo
wangu
maumivu
Nilijua
hawezi
kufa
kwa
sababu
hakunipenda
Na
ni
rasmi
nikapoteza
shilingi
kwenye
msitu
Nilikiambia
kifo
kama
unakuja
njoo
Maana
sikuwa
mtu
ilishakufa
roho
Sikuumia
kama
alivyoniumiza
yeye
Kwahiyo
sikujali
jinsi
nilivyoteswa
na
wale
mbwa
no
Aliambiwa
ambusu
bosi
hakubisha
Alipewa
bunduki
hakusita
Aliishika
risasi
akaiingiza
Akaambiwa
anipige
kwenye
kichwa
1 The Lost One
2 Kikaoni
3 Nobody Is Safe 3
4 Nobody Is Safe 2
5 Hatia
6 Hatia II
7 Hatia III
8 Kanisa
9 Fallen Angel
10 Siku Mbaya
11 Tega Sikio
12 Maswali
13 Sister
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.