Otile Brown - Mapenzi Hisia текст песни

Текст песни Mapenzi Hisia - Otile Brown



Tunapendeza pamoja ni dhahiri
Tuliumbwa tuwe pamoja baby
Na sisi huwaga pamoja daily
Na kama kando yake hukuniona jua sipo mbali
Maana me ni kivuli chake ye, aendako na me nakwenda ee
Haijalishi uendepo wapi ee,, nishike mkono twende wote ee
Maana me kivuli chake, aendapo na me nakwenda ee
Haijalishi uendako wapi baby nishike mkono twende wote sote
Iiii aaaahh mapenzi hisia eii
Aaaah mmoja anakuridhia eeeh
Aaah mapenzi hisia eeh aaaah
Mmoja anakuridhia
Haijalishi unampenda nani herera herera
Basi niambie unampenda nani herera herera
Shout jina lake hadharani
Iwe anafanya Mjengo
Makanga au Sogi
Almradi anakuridhia moyoni
Awe Mvuvi au Bodaboda
Kupata au Kukosa ni majaliwa
Awe Seremala au Muuza mboga
Kupata au kukosa ni majaliwa
Awe Mvuvi au Bodaboda
Kupata au Kukosa ni majaliwa
Awe Seremala au Muuza mboga
Kupata au kukosa ni majaliwa
Eei Aghaaghaa! Mapenzi hisia
Eei a Aghaaghaa! Hoja anakuridhia
Eei Aghaaghaa! Mapenzi hisia
Eei a Aghaaghaa! Hoja anakuridhia
Me almradi unanipenda baby
Almradi unanipenda mama
Almradi unanipenda, unanipenda
You know, you knowthat
I′m crazy over you you,kila nikikuona
Roho yangu juju
Wanasema eti umenipea juju
Ooh Girl am crazy over you
You know, you knowthat
I'm crazy over you you,kila nikikuona
Roho yangu juju
Wanasema eti umenipea juju
Ooh Girl am crazy over you
Eei Aghaaghaa! Mapenzi hisia
Eei a Aghaaghaa! Hoja anakuridhia
Eei Aghaaghaa! Mapenzi hisia
Eei a Aghaaghaa! Hoja anakuridhia



Авторы: Otile Brown


Otile Brown - Mapenzi Hisia
Альбом Mapenzi Hisia
дата релиза
23-10-2017




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.