Otile Brown - Nabayet текст песни

Текст песни Nabayet - Otile Brown



OTILE BROWN
Nimejaliwa moyo wa upendo,
Nikipenda napendaga vibaya
Ila scandal zimefanya sija settle
Madem wananihukumu vibaya
Nishabadili ata Mienendo
Wanadai nimefulia ile mbaya
Mana sifanyi kiki tena na scandal
Sina hamu nazo kisa wewe mama
Wananiita play boy (heart breaker)
Baada ya kitendo (na sepa)
Yani hawaniamini ata kama nawatania
Wananiita play boy (heart breaker)
Baada ya kitendo (na sepa)
Yani hawaniamini ata kama nawatania
Baby mi sio mtu wa mchezo mchezo
(Nabayet,Nabayet, Nabayet)
Sema niku Oe ata leo
(Nabayet,Nabayet, Nabayet)
Nabi, Nabi, Nabi we, Nabi, Nabayet
Nabi, Nabi, Nabi we, Nabi, Nabayet
Aseme anahisi joto nimpepee ila anachukulia poa tu
Nioshe viombo nimkande ila juhudi zangu bute tu
Namtendekeza kama mtoto ata chakula kwa mkono ashiki
Kama Mashine nampa tango mana hanaga bwawa la maji
Wananiita play boy (heart breaker)
Baada ya kitendo (na sepa)
Yani hawaniamini ata kama nawatania
Wananiita play boy (heart breaker)
Baada ya kitendo (na sepa)
Yani hawaniamini ata kama nawatania
Baby mi sio mtu wa mchezo mchezo
(Nabayet,Nabayet, Nabayet)
Sema niku Oe ata leo
(Nabayet,Nabayet, Nabayet)
Nabi, Nabi, Nabi we, Nabi, Nabayet
Nabi, Nabi, Nabi we, Nabi, Nabayet



Авторы: Otile Brown


Otile Brown - Nabayet - Single
Альбом Nabayet - Single
дата релиза
28-09-2019




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.