Rorexxie - Bangi Bangi Lyrics

Lyrics Bangi Bangi - Rorexxie

Hizi ni salam marafiki na wazazi niko jela mi' yapata mwezi
Sioni jua, sioni watu, sioni mwezi nitafanya nini nakutoroka siwezi
Ninajiuliza nikosa gani vile lililonifanya mi niteseke daily
Nagundua yakuwa kijiti kile, kilinipa mori sababisha mi pore
(Bange, bange, bange zimesababisha mi ni sote)
(Bange, bange, bange nitazisaliti ili nitoke)

Nilopo pisi nikajihisi jambazi, mara mbele yangu kajipendekeza tozi
Nikapiga ngeta ngeta mfano wa kitanzi
Nikazama ndichi nikatoka na michuzi
Kumbe polisi walikuwa mbele yangu
Walidhania kuwa wizi kazi yangu
Walinikamata na ngonga virungu
Wamenipa geto jela ndo chumba changu
(Bange, bange, bange zimesababisha mi ni sote)
(Bange, bange, bange nitazisaliti ili nitoke)
(Bange, bange, bange zimesababisha mi ni sote)
(Bange, bange, bange nitazisaliti ili nitoke)
Naimba muziki sauti haitoki
Sorry mashabiki msijenge chuki, ilishaacha ziwa la mama bila mikiki
Itakuwa hiki kijiti kinachileta dhiki
Marijuana
20 Percent kuruti na fam boy (Oha) nai nai nai) vampire
(Bange, bange, bange zimesababisha mi ni sote)
(Bange, bange, bange nitazisaliti ili nitoke)
(Bange, bange, bange zimesababisha mi ni sote)
(Bange, bange, bange nitazisaliti ili nitoke)
Hiyo mi mbuu jela usiseme
Utaumwa homa mpaka ukome
Saa kumi namoja unapelekwa ukalime
Hata kulala tunalala mchongome
Ganja ganja ganja (ah ah ah chorus sio 20, chorus hii hapa)
(Bange, bange, bange zimesababisha mi ni sote)
(Bange, bange, bange nitazisaliti ili nitoke)
(Bange, bange, bange zimesababisha mi ni sote)
(Bange, bange, bange nitazisaliti ili nitoke)
(Ahh ahh Chris Shine mavampaya, vampaya
Producer maji ManWater big up sana babu)
(20 Percent kuruti na ma fam boys sindano ndogo inayoshona makoti)
Up Level

Writer(s): Abbas 20 Percent Hamis, Abbas Hamis, Issa Rorexxie Ibungu, Issai Ibungu

Rorexxie - Brokėn
Album Brokėn
date of release
26-10-2023

Attention! Feel free to leave feedback.