Lyrics Jieleze - Rorexxie
(Jieleze,
Jieleze)
(Jieleze,
Jieleze)
(Ntajieleza
mama
Aah)
(Nitajieleza
mama
Aah)
(Jieleze,
Jieleze)
(Jieleze,
Jieleze)
(Ntajieleza
mama
Aah)
(Nitajieleza
mama
Aah)
Kabla
sijazaliwa
uliitwa
'beautiful'
Wala
hukujutia
kupoteza
ule
uziri
(kupoteza
ule
uziri)
Mimba
ukafurahia
ukanileya
mpaka
naanza
school
Ukanikataza
mabaya,
nakunifunza
mazuri
Mama,
baba
anatazama
Nakuwatunza
mama
na
wana
Kitu
kidogo
lawama
Wa
kwanza,
anataka
msosi
Wa
mwisho,
maziwa
halisi
Wakati
anaumwa
anahisi,
hapendwi
homa
hazimwishi
Niite
'Mkushi',
ila
sikitu
bila
mama
Kushi
Sipingi
sibishi
mama
Kushi
nizaidi
ya
mjeshi
Niite
'mkushi'
ila
sikitu
bila
mama
Kushi
Sipingi
sibishi
mama
Kushi
nizaidi
ya
mjeshi
(Jieleze,
Jieleze)
(Jieleze,
Jieleze)
(Ntajieleza
mama
Aah)
(Nitajieleza
mama
Aah)
(Jieleze,
Jieleze)
(Jieleze,
Jieleze)
(Ntajieleza
mama
Aah)
(Nitajieleza
mama
Aah)
Hata
kama
jizi
wakula
majalalani
Mama
yako
ni
wako,
jirani
na
wajirani
Wakwako
tajiri
wa
kwangu
ni
masikini
Mumezaliwa
wawili
sisi
tuko
kama
kumi
Kichwani
na
mzigo,
mgongoni
na
mtoto
Kazi
kubwa
na
ndogo,
zote
yeye
Kichwani
na
mzigo,
mgongoni
na
mtoto
Kazi
kubwa
na
ndogo
Ooh
Pole,
mama
Kushi,
matatizo
huwa
hayaishi
Pole,
mama
Kushi
Usingependa
mi'nisingeishi,
leo!
(Jieleze,
Jieleze)
(Jieleze,
Jieleze)
(Ntajieleza
mama
Aah)
(Nitajieleza
mama
Aah)
(Jieleze,
Jieleze)
(Jieleze,
Jieleze)
(Ntajieleza
mama
Aah)
(Nitajieleza
mama
Aah)
(Jieleze,
Jieleze)
(Jieleze,
Jieleze)
(Ntajieleza
mama
Aah)
(Nitajieleza
mama
Aah)
(Jieleze,
Jieleze)
(Jieleze,
Jieleze)
(Ntajieleza
mama
Aah)
(Nitajieleza
mama
Aah)
1 Naficha
2 Nyumba ya milele
3 Sauti yangu
4 Wajane
5 Nimerudi Salama
6 Mali za Urithi
7 Ningekusamehe
8 Money money
9 Jieleze
10 Kalamba mwiko
11 Chura
12 Bangi Bangi
13 Binti Kimanzi
14 Tamaa mbaya
15 Yanini Malumbano
16 Sitoi
Attention! Feel free to leave feedback.